Recent content by ndala fupi

  1. N

    Msaada wa kilimo kwa wazoefu

    mi mwnafunz chuo na npo kawe ila kama mda wa kutembelea shamba ntakuepo nao ila kushinda ntaweza kasoro tu kulala hko mm npo kawe dam naomba ntumie nmb zko pm ili uweze kunipa maelezo vzur ata nkipata maeneo mazur unayoyajua ww sawa tu asante kwa hlo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Msaada wa kilimo kwa wazoefu

    ntapata wp maeneo mazur mm npo dar na hio bei ya pump nchj 2 pamoja na mbegu mpka kuvuna itatosha kwa hio ela kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Msaada wa kilimo kwa wazoefu

    Mimi nina mtaj wa 650000. Je nlikua naomba mnijuze kilimo gani kwa bei hiyo itafaa? au kama kuna biashara nyingine nzuri inayolipa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Wale wazoefu wa kilimo

    Mimi nina mtaji wa 650000 je ninaweza kulima zao gani au ela ndogo sana nilikua namba msaada wanajf Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Nahitaji eneo la kufanyia biashara ya chipsi jijini Dar

    Habari zenu wanaJF Mimi ni kijana wa miaka 22. Ndoto zangu ni kufungua kibanda cha chipsi na mtaji ninao kama laki 7 hivi. Naombeni msaada wa eneo la kuanzisha biashara hii hapa Dar. Hata nikipata kakibaraza cha kukodisha sawa tu au nikipata sehemu local local za uswahilini penye uhakika wa...
Back
Top Bottom