Ni Jambo jema, lkn litafanyika kwa wakati?!Kama watatumia njia waliyojengea ile ya elerai,km 7 kwa miaka ,basi itakuwa janga.lkn wakitumia wakandasi making na wengi kutokana na umuhimu wa utalii basi huu utakuwa uzalendo wa Hali ya juu
Kiukweli huu utakuwa uamuzi sahihi sana.,ambao utachangia ongezeko la wageni kwa kiasi kikubwa kwani njia ilikuwa Kati ya changamoto mbaya iloligarimu taifa kwa muda mrefu.
Tatizo litakuwa Ni muda.iwapo busara ikatumika,wakapewa wakandarasi maalumu na kadhaa ili kumaliza kazi hiyo kwa wakati...
..Maandiko matakatifu(mith31.9)inamtaka kiongozi awe sauti ama asimamie haki ya walio bubu,masikini wanaoonewa na kukandamizwa,atetee wajane na yatima kwa haki na uaminifu..!
Wilaya ya Arumeru imekuwa na migogoro mingi ya ardhi ambayo mingi imeasisiwa na baadhi ya viongozi wasio na hofu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.