Recent content by nchiyetutztz

  1. N

    JamiiForums Vigogo 10 ambao Magufuli amewatosa huku wanajiona..

    Tujadili issues na sio watu
  2. N

    JamiiForums Ushauri wa bure kwa wanasiasa, acheneni na kutegemea mainstream media, wekezeni kwenye social media

    Nafikiri issue sio 'either, or' ni kuwekeza kwenye zote kwasababu bado mainstream media ina audience yake pia
  3. N

    JamiiForums Watu 10 muhimu waliomuweka Magufuli Ikulu 2015

    Tunapoteza muda mwingi kujadili watu badala ya kujadili issues. Hatuisaidii nchi yetu kama tunaendelea hivi.
  4. N

    JamiiForums Demokrasia na maendeleo: Tusipotoshe ushahidi wa kisayansi

    Kwanza, mtu yeyote anaweza kusoma posts za jamii forum bila kuwa member, atakachoshindwa kufanya ni to comment and/or to submit posts. Hisia zako kuwa kama sio member huwezi kusoma posts sio sahihi. Tuepuke hisia zisizo na msingi. Pili, tofautisha kati ya philosophical, theoretical, na...
  5. N

    JamiiForums Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Ukiona instant response yako kwenye serious issues ndio hii, ujue upeo wako ni mdogo sana.
  6. N

    JamiiForums Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Ukiona instant response yako kwenye serious issues ndio hii, ujue upeo wako ni mdogo sana.
  7. N

    JamiiForums Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Ukiona instant response yako kwenye serious issues ndio hii, ujue upeo wako ni mdogo sana.
  8. N

    JamiiForums Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Ukiona instant response yako kwenye serious issues ndio hii, ujue upeo wako ni mdogo sana.
  9. N

    JamiiForums Demokrasia na maendeleo: Tusipotoshe ushahidi wa kisayansi

    Ukiweza kutofautisha kati ya journalistic articles/arguments na scientific articles/arguments ungenielewa,,,, pia tofautisha kati ya political liberalisation na democracy,,,,, point yako ya mwisho ni dhaifu sana na kithibitisho cha nilichoeleza - tatizo la kujibu hoja kwa hisia,,, jiuliza China...
  10. N

    JamiiForums Demokrasia na maendeleo: Tusipotoshe ushahidi wa kisayansi

    opps, sorry, ni moja ya tatu kwa kila domain ya literature
  11. N

    JamiiForums Demokrasia na maendeleo: Tusipotoshe ushahidi wa kisayansi

    Upotoshaji mkubwa kwa baadhi ya posts hapa jamii forum unaendelea. Ushahidi wa kisayansi (credible scientific/empirical evidence) unaonyesha kuwa bado hakuna muafaka kwenye mahusiano ya moja kwa moja kati ya haya mawili. Robo tatu ya tafiti zimethibitisha demokrasia inachangia maendeleo. Robo...
  12. N

    JamiiForums Clubs za muziki Oysterbay barabara ya Haile Selassie ziko juu ya sheria?

    Tuna sheria, tuna viongozi, tuna vyombo vya dola. Pamoja na wananchi kuwekeza kwenye vyote hivi (kupitia kodi zao) kwanini tusubiri mpaka Mhe. Rais Magufuli apige kelele ndio tutimize wajibu wetu? Tumeshavunja sheria kwa kuruhusu mabaa na club za muziki kwenye maeneo ya makazi; tumsubiri nani...
Back
Top Bottom