Recent content by nchasi

  1. nchasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Kama Kuna mtu kaupata huo wimbo nikuulizapo Jambo huja juu, huja juu mpenzi wangu wee, hata majembe hutokea wakati Fulani hugongana
  2. nchasi

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa Msondo

    AISEE NAUTAFUTA HADI LEO KAMA KUNA MTU KAUPATA HUU "NIKUULIZAP JAMBO HUJA JUU"
  3. nchasi

    JamiiForums Tanzania Wilson Mahera: Kwenye Uchaguzi kama watu wanakatwa huko chini, kuonewa, kutoruhusiwa kuingia vituoni, semeni

    Mh Rais kwa mamlaka yako ikikupendeza teua mkurugenzi mwingine hii nchi ni yetu sote, na mwingine naye apate huo mshahara
  4. nchasi

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Mh. Rais watumishi wanamlilia Sana Mchengerwa na wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho either kuwarudishia for uraha yao au kuwaachia huzuni.
  5. nchasi

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Matumaini ya watumishi yalianza kuchanua lakini sasa mhhh. Rais wetu chonde chonde mrejeshe Mchengerwa
  6. nchasi

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Maafisa Utumishi walioshindwa kuwapandisha vyeo waliostahili washushwe vyeo

    Chonde chonde Rais wetu mpendwa mrejeshe huyu jembe, kumbuka Mambo ya vikokotoo mwasisi na mtetezi wa kikokotoo!!!! Huyu jamaa ataleta Imani kubwa Sana mrejeshe
  7. nchasi

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Ombi langu kwa Rais wetu mpendwa Kama ikimpendeza amrudishe huyu Waziri kwenye Wizara maana aliitendea haki Sana Sana. Mheshimiwa Rais tunakuomba Sana sana
  8. nchasi

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Huyu mheshimiwa alifiti Sana na ailitenda haki kwenye ile wizara, Rais wetu mpendwa unaesikiliza wananchi wako tunakuomba, tunakusihi mrejeshe huyu mheshimiwa kwenye ile wizara, huyu mwingine mpeleke kwingineko. Tunakuomba Sana Rais wetu.
  9. nchasi

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Namwombea Rais wetu kwa Mungu awe na moyo wa maono maana inavyoonyesha Kuna mtafaruku unanukia, Ila sisi wananchi Tuko nyuma yako Rais wetu tuna Imani kubwa Sana na kwa uweza wake Allah utatufikisha mbali Sana
  10. nchasi

    JamiiForums Tanzania Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

    Namwombea Rais wetu kwa Mungu awe na moyo wa maono maana inavyoonyesha Kuna mtafaruku unanukia, Ila sisi wananchi Tuko nyuma yako Rais wetu tuna Imani kubwa Sana na kwa uweza wake Allah utatufikisha mbali Sana
  11. nchasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Ukweli tuseme, huu mradi ukamilishwe kwanza kutoka Dar to Dom na teen lianze Nazi, sasa kwa mtindo huu mbona kukamilika itachukua awam7
  12. nchasi

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu kuhusu Lengai Ole Sabaya aliyekuwa DC wa Hai

    Nilipoona tu pole, sijahangaika kusom
  13. nchasi

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

    Innaa milkullah yataswarrafu fiinaa kayfa yashaau
  14. nchasi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Huyu jamaa anazingua kweli. Hata nukta haoni
  15. nchasi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaichukia Tanzania haipendi Tanzania hawapendi watanzania anaiombea mabaya nchi yetu

    We RAIA umevurugwa saaana na LISU
Back
Top Bottom