Haya yote yana mwisho! Wanachopaswa kutambua ni kuwa 'hatesi mtesa akafululiza.' Itafika wakati kusafiri hakutasaidia. Itakuwa vizuri akitambua kuwa 'kurukaruka si dawa ya ulimbo!'
Haya yote yana mwisho! Wanachopaswa kutambua ni kuwa 'hatesi mtesa akafululiza'. Itafika wakati kusafiri hakutasaidia. Itakuwa vizuri akitambua kuwa 'kurukaruka si dawa ya ulimbo!'
Tatizo nililoliona ni wachangiaji wengi kutoka nje ya mada. Mada ilitaka maoni iwapo kitendo cha polisi kutumia silaha za moto na hatimaye kuua waandamanaji ni kukiuka haki au vinginevyo. Hata hivyo badala ya kutoa hoja kulingana na mada wachangiaji wakawa wanawashambulia wanaharakati kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.