Alafu anakuja Ms*ng* mmoja anasema eti Russia ni aggressor eti Ukraine anaonewa ,shenzi eti democracy sijui sovereignty haya ameeleza vizur kabisa hata hao US hawazingatii sovereignty za majirani zao .hapa ndio nimeamini kwamba ukiona mtu yupo upande wa west kwenye huu mgogoro anauelewa mdogo...
We jamaa nimekuwa nakifuatilia Sana nyuzi zako unamadini Sana na Kuna watu unawapiga kwenye mshono ndio maana wanakupinga .hongera na usichoke kutusanua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.