Recent content by Nazaely shani

  1. N

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Dah we jamaa umegusa sana upande wetu wanasingida, ukiangalia upande wa magharibi kule kiomboi hali ni mbaya sana hata mbunge wetu mwigulu nchemba sioni anachokifanya zaidi ya kuongea kinyiramba tu.. ile lami ya kutoka misigiri mpk kiomboi baada ya kujengwa hakuna kingine kilichoendelea vijiji...
  2. N

    GE2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

    tatizo lako uliyeandika huu uzi una ushabiki wa chama ,alivvyosema bibi kidude nadhan ulielewa alimaanisha nini,ila kwasababu ya ushabiki wako unakuza mambo.... hiyo ni lugha ya kisiasa
  3. N

    Hizi ajira za ualimu zitaongeza hasira tu dhidi ya Serikali

    Hili ndio tatizo kubwa sana serikali yetu huwa inafanya kama tamko lilitoka kitambo kwenye tar 3 kabisa na waziri akasema application zianze tar 7 hizo siku 4 zote walikuwa wap kufanya access ya mitandao ili kutoa usumbufu kama huu? Swala LA ajira sio dogo kama wanavyodhani watu wengi wahitimu...
  4. N

    GE2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

    atakuwa na ujasiri upi wa kuwaita watu kwenye uwanja mkubwa wakati sera zake hatekelezi kazi bangi tu..
  5. N

    GE2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

    SISI CCM SIO WAJINGA PIA; upanuzi wa Barabara unaousemea kutoka kibaha mpaka ubungo unafaida kubwa kwetu sisi wafanyabiashara na kwa wanaofanya kazi katikati ya jiji LA dar es salaam kwa sababu inaturahisishia uharaka wa kufika kwenye vituo vya kufanyia kazi ili kujipatia kipato chetu na taifa...
  6. N

    Natafuta partner wa kuuza mafuta ya alizeti

    Habari wana JF Mimi ni mwanachuo katika chuo kikuu cha st Joseph kipo mbezi kimara,Dar es salaam. Nahitaji partner .ambae tunaweza kufanya biashara pamoja ya kuuza mafuta ya alizeti kwa sababu Mimi ni mwenyeji pia wa mkoa wa singida na mafuta yanapatikana kwa wingi huko. no yangu ni 0657169715...
  7. N

    GE2020 Urais CHADEMA ni kamati

    Hata vipaumbele vyao vya nia havina ushawishi kwa wanachama wa kambi ya utawala,
Back
Top Bottom