Recent content by Nawajegeja

  1. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Je, hizi ni OFFSIDE au ni hujuma?

    Nimeangalia kwa umakini kabisa watani wameonewa yale yote ni magoli halali kabisa,lakini Yanga bado mtabakia kua Utopolo tu. Simba nguvu moja.
  2. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

    Kamwaga alikaimu kwa miezi miwili tu muda wake umekwisha.
  3. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Video: Mfalme Emmanuel Okwi " Emmo Sting" kiboko ya Waarabu

    Okwi anasifa ya kuibeba Simba pale mambo yanapokua magumu uwanjani. Okwi nafasi yake ipo na anafasi ya kufanya maajabu mechi za ndani na za kimataifa.
  4. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Je, simba inakamiwa au ni uwezo wao kwa sasa

    Maingizo mapya kwa Simba ni mengi na wote wazuri na umri wao wengi ni wadogo. Simba aijasajili wazee kama Ntibazonkiza na wakina Bangala. Subirini mtapelekewa moto muda si mrefu.
  5. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu

    Tulia wewe haijawai na haitotokea Simba akashindwa vita.
  6. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Kilele cha mafanikio kwa simba 2016-21

    Subirini Simba ikiwasha engine rooms zake wenyewe mtapoa tu.
  7. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Simba bila Akina Chama Leo tena

    Kuna watu akitoa mada tu unamjua kabisa huyu mtu hajijui kama hajui.
  8. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania FT: Biashara 0 Simba 0

    Majeruhi.
  9. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania FT: Biashara 0 Simba 0

    Kabaki Dar kwasababu za kiufundi ila azijaelezwa ni zipi.
  10. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania FT: Biashara 0 Simba 0

    Boco na Kagere iyo pacha lazima biashara wafe.ukuta wa Simba kuanza Kenedy na Inonga Manula apewe kiti cha pwani kile cha kulala. Ghazwat OKW BOBAN SUNZU Kalpana BRN Mshana Jr Utopologist na wanasimba wote mnyama anaanza kazi rasmi huku ya kuchukua tena ubingwa wake.
  11. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Asante Mayele,heshima imerudi hapa Jukwaani

    Ushindi wa Yanga ilikua kitu muhimu sana kutuliza bundi,pangechafuka pale Jangwani.
  12. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

    Mugalu apambane sana,wakina Chama na Merquisone waliokua wakimrahisishia kazi sasa hawapo.
  13. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

    Sio kigezo,kigezo anaaminiwa mpaka kwenye mechi muhimu lakini anakosa magoli kizembe.
  14. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania Tuache kumlaumu Mugalu. Kuna mengi katufanyia

    Hii ndo tofauti ya mashabiki wa Simba na Yanga. Simba wanajua shida ni baadhi ya wachezaji,vuta picha ingekua upande wa pili wangefungwa.tff,body ya ligi au uongozi wao wasingepumua.
  15. Nawajegeja

    JamiiForums Tanzania VUNJABEI kashakuwa na jina kubwa mjini, aache sasa kuuza maronya

    Suruali 19 lazima itakua mbovu tu. Jamaa anapiga pesa kwenye izo lonya awezi kukuelewa kwasababu anavuna wateja wote wenye kipato na wasio na kipato.
Back
Top Bottom