Recent content by Navigator21

  1. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Huyu kapigiwa jana au?
  2. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Okay [emoji106]
  3. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hivi wanapigia kupitia namba gani? Ni zile official za serikali? (Zile namba za simu ya mezani), au hata hizi za voda/tigo na kadhalika?
  4. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kila atakayetaka kuiokoa nafsi yake atapoteza...

    Maajabu haya! Yaani wewe mjinga usiye na dalili ya akili unawapuuza watu? Jayo mamlaka amekupa nani? Kwenye Corona wafuasi wa jiwe mnatia huruma kweli yaani Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  5. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Huna akili mpuuzi,almanusura nitapike aisee Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  6. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Nakiri wewe Dada una tatizo kichwani! Sikupangii cha kufanya ila nimejizuia kusema mara nyingi sana! Jaribu kumuona hata psychiatrist atakusaidia. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  7. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Help for Coordination Chemistry (Practical questions)

    Hebu kuwa serious kidogo basi Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  8. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutoisha mkojo, nikimaliza kukojoa nikikaa baada dk 20 naskia mkojo tena. Nikimaliza kukojoa mwisho matonematone hutoka

    Diabetes insipidus sio kisukari mzee, kisukari ni Diabetes mellitus. Vitu viwili tofauti kabisaa Nenda hospitali utapata tiba Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  9. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutoisha mkojo, nikimaliza kukojoa nikikaa baada dk 20 naskia mkojo tena. Nikimaliza kukojoa mwisho matonematone hutoka

    Kwa dalili zako, haraka haraka unaweza ukawa na ugonjwa wa DIABETES INSIPIDUS(chanzo inaweza ikawa ni figo(nephrogenic)nau ni ubongo (central) ) fika MUHIMBILI watakufanyia vipimo na kukutibu tatizo lako]
  10. Navigator21

    JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Haishangazi nchi yenye uchumi wa kati kuwa na shule zenye vyoo kam hivyo?
  11. Navigator21

    JamiiForums Tanzania DPP: Ni kosa kuwarejeshea fedha waliowekeza QNET

    Walewale wa Qnet
  12. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Double Standards: Waliokosea kuapa walikuwa wawili lakini mkosaji akawa mmoja

    Mama wa 50/50 eti! Kumbe unajua kwamba huo usawa haupo kwenye dunia hii
  13. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Naona unateseka hapo kusafisha uharo wa Mwenyekiti wako! MITANO TENA[emoji112]
  14. Navigator21

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Kwani Chegere alisoma physics? Si nasikia alisoma EGM
  15. Navigator21

    JamiiForums Tanzania Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    Mkuu matokeo yako vipi?[emoji16]
Back
Top Bottom