Recent content by naturaltree

  1. naturaltree

    Mume wa mama mdogo ananirubuni anioe, nifanyeje?

    Akili kisoda,unamprndaje mtu ambae hujawahi muona!?kisa pesa tu
  2. naturaltree

    Epuka sana kuwa na mwanaume kapuku, mnuka vumbi

    Hakuna Benki zinazofanya Biashara ya hasara mkuu kamà ya kumuoa Mwanamke Mburula kamà huyo ambaye hajishughulishi,kumtegemea mwanaume tu,wew shost umeisha hakna Benk kuoa hapo
  3. naturaltree

    Tunaishi kama mke na mume lakini hana mpango wa kunioa, nifanyeje?

    Pole sana,lakn wew una makosa maana kilchokufanya uhamie kwake mojawapo ilikuwa kupunguza gharama za maisha yaan kodi ya Nyumba,chakula na kadhalika,naamn ungeendelea kukaa kwako na kuwa na msimamo angekuoa lkn sahiv kakuchoka . Cha kufanya,kwa kuwa umeshajua nn malengo yake kwako,tafuta wamama...
  4. naturaltree

    Haka kabinti kameniponza sana loh!

    Mkuu hicho ulichokifnay ulikusudia maana kwann ulimruhusu alale!?naamn ulimshawish kamà skosei lea mimba,lasivyo utapata laana maana mtt hana kosa wew ndio mwenye kosa
  5. naturaltree

    Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Asante Doctor,lkn naona kamà chanzo kiko tofaut na maelezo yako hapo juu maana mm jasho huambatana na kuongezeka kwa heart beat kwa wakt mmja
  6. naturaltree

    Uso kwa uso na mpenzi wa zamani kwenye nyumba ya kupanga

    Bro sumu huyo,mke wa mtu ,masuala ya hamnaga ushemeji ni kuburudisha tu,aisee utachomwa moto jikaze kuwa serious. Wew si una mkeo ,na anakupa kila kitu huyo ni Mke wa mtu tena jiran,kumbuka ukimla na wew ataliwa vile vile hata kamà mbali na inauma sana Kila laheri lkn mrejesho Tafadhali...
  7. naturaltree

    Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    Asante doctor,mm nnatokwa na jasho nnapokuwa mbele za watu,nakunywa chai,na chakula pia
  8. naturaltree

    Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

    Asante sana Kaka Mshana,Mungu akujalie Maisha marefu ili uzid kutushauri meng
  9. naturaltree

    Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

    Brazah nakupa big up aisee!!!hawa Dada zetu wamezid imeandkwa wap kuwa ukikutana nae inatakiwa umlipie nauli ,dadadekiiiii hata mm nisingemlipia hapa min watu tunaish kwa mahesabu tu,kwa siku shilng kadhaa na kwa mwez had mwaka
  10. naturaltree

    Uume hausimami wakati wa tendo

    Tatzo la wanaume wa dar hilo ,ndio maana mabango kila sehemu achen puli,achen chemical food kila kitu cha kisasa tu mtaendelea kulimiwa mashamba yenu
  11. naturaltree

    Jamani sijui nifanyeje na huyu kaka yangu, hataki niwe na mpenzi

    Hicho ndio kitu swez vumilia aisee,mpenz wake anakuja kulala home hapana kwanza hata nikimkuta ndan bila taarifa lazma apate chake vya moto
  12. naturaltree

    Wiki ya pili Abdala hasimami baada ya kutembea na mke wa mtu, haja ndogo inatoka rangi mbalimbali

    Hahahahhah!!!!dah!!!hakuna namna atakubali tu lkn wafanye siri
  13. naturaltree

    Zifahamu nyakati kuu 3 muhimu za kufanya tendo la ndoa

    Mmmh!!!Mm napita tu watakuja wanandoa
  14. naturaltree

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    Jaman kusoma hamjui hata picha,pls over pls nawaomba wana jf msijaribu kabsa kitu hicho . Maana in real sense hiyo ni njia itakayokuunganisha wew na shetan,hakuna anayejua kesho hapa dunian syo kweli. Na wew mtoa thread,syo vzr kuupotosha umma mkubwa hivo kisa mapenz yana nguvu kubwa that's not true
Back
Top Bottom