Recent content by Natural justice

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Bandiko mujarabu kabisa Pasko! Tunayoahidi kwny platforms za kimataifa ni lazima tuzitekeleze kwa vitendo. Charity begins at home. Ila Pasco mwalimu wangu shule ya msingi alituambia wingi wa JIKO ni MEKO. Kamusi yako inasemaje maana mi sina.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

    Tupe mapato na matumizi ya zile tozo za miamala ulizoongea bungeni kuwa mnaenda kujenga shule na zahanati. Kama mnakuja na proposals nzuri na utekelezaji unakuwa sifuri namna hyo ni nani atawaamini mkija na hoja nyingine inayohusu kodi? Tupo vijijini huku lakini tunafuatilia nini kinendelea...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Barabara ya Kidatu- Ifakara, hii toka nimeiona 2016 Hadi leo haijakamilika. Ni tabu tupu Morogoro linapokuja suala la barabara!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    Maoni mazuri ndg yangu P, ahsante sana.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je ni lini kyela tutapata umeme angalau masaa mawili tuu kwa siku mchana ?

    Kyela Kyela loooooooo! Hakuna sehemu wanakata umeme duniani Kama Kyela! Sitasahau hyo wilaya milele! Nilikaa huko napajua, huwa nawaambia watu ukitaka kujua namna uneme ni shida, nenda Kyela. Pole mkuu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Awesome, it is such a nice story!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

    Kama ukifuata utaratibu wa kumpata mke/mume kutoka kwa Mungu Kama neno la Mungu linavyosema ( mithali 31:10...... ) Unaweza kuvumilia hadi ndoa, maana Mungu hawezi kukupa kitu kinyonge. Lakini kama mmekutana nje ya utaratibu wa Mungu ni nini kitakachowazuia kungonoka kabla ya ndoa? Jibu ni hakuna.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Duuu mjadala mtamu kweli, mtazamo wangu Mimi Ni huu kulingana na kumbukumbu la torati 12:5-17 inaelekeza zaka itolewe mahali atakapopachagua Bwana, kwa mfano mlawi, yatima, mjane, mgeni na Malaki 3:10 inaelekeza ghalani au kwenye nyumba ya Mungu au kanisani. Sasa utajuaje upeleke wapi? Ni lazima...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wengi tunamhukumu mwandishi lkn nafkiri hatujasoma bandiko hili vizuri, naungana na Pascal moja kwa moja. Kama nchi tungeweza fanya wenyewe lkn tuna mifumo thabiti ya kusimamia taasisi hizi? Tuna vyombo Kama TAKUKURU, TISS, hata mahakama je ni independent? Mentality za watanzania wengi ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

    Acha tu huyu Bibi alinifanya ninunue radio mwaka 1997 nikiwa mdogo tu ili nisikilize dw mjin Colon
  11. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza huyu mtangazaji nilihisi mwanaume

    Acha tu huyu Bibi alinifanya ninunue radio mwaka 1997 ili nisikilize dw mjin Colon
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama mkoa wa Morogoro ukigawanywa napendekeza mkoa mpya uitwe Kilombero wenye Wilaya hizi...

    Jamaa yangu kati ya mwaka 2011 au 2012 aliwahi kuniambia kuwa kigogo mmoja (kwa sasa ni mstaafu) alisema laiti hoja ya kugawa nchi kimajimbo ingeletwa na mwanaccm yumkini serikali ingelichukua wazo hilo na kufikiri namna ya utekelezaji wake, lakini kwa sababu wazo lilitoka upinzani wala hawana...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Mimi na Baba tutamsamehe vipi Mama? Nami nitawezaje msamehe Mzazi wangu?

    Duuuuu! Haya bwana, pole sana kama haya ni ya kweli, haya yapo tu sehemu nyingi, wengine wanajua na wengine hawajui. Omba usijue!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waandishi hawa Spencer Lameck na Emmanuel Buohela?

    Kwa wale waliofuatilia uchaguzi wa Tanzania mwaka 2020 uliomwingiza JPM madarakani wataungana nami kuwa utolewaji wa taarifa za kampeni nchini kupitia ITV ulinogeshwa zaidi na waandishi tajwa hapo juu kwa umahiri wao ktk utoaji wa taarifa. Ilikuwa ikifika saa mbili usiku kuna watu walikwenda...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzinzi wa Ohola na Oholiba, funzo kwa jamii za Wakristo

    Amen mtumishi wa Bwana
Back
Top Bottom