Katika MAANDIKO watu wengi walinufaika kwa ajili ya jambo au mambo ambayo wazazi wao walimtendea MUNGU...mfano wana wa ISRAEL walipewa upendeleo mkubwa kutoka kwa MUNGU kwa sababu tu ya baba zao(IBRAHIMU,ISAKA na YAKOBO),kwa hiyo hata Joseph Edward Sokoine anapewa nyadhifa si kwa sababu ni bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.