Recent content by nathan.nchamba

  1. N

    Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Usikimbilie kuteuliwa ! Timiza vigezo 1Uwe na sifa 2 Ujitambue 3Uwe mwaminifu na Mcha Mungu. Ujue safari hii ni KAZI TU HAKUNA KUPIGA PESA!
  2. N

    Lowassa CHADEMA imekubeba, ungepitishwa CCM hakika usingefurukuta

    Mh Lowasa ndo kaibeba Ukawa Dr au Prof wasingefurukuta kwa Mh Magufuri wasingeiona hata namba ili wasome yaani ingekuwa mbali Lakini Mh Lowasa kaisoma namba ina maana alikuwa karibu nao sana angeweza hata kuwapita!
  3. N

    Lowassa CHADEMA imekubeba, ungepitishwa CCM hakika usingefurukuta

    Angepitishwa na CCM kugombea Uraisi yangetokea haya 1.angeshinda kwa asilimia 99.9 2.upinzani ungefutika kabisaa kwani wangepata viti 3 kama siyo 1 cha Mh. Zito kwa maana hii Dar angepeta sanaa Arusha ndo usiseme Mbeya ndo kabisaa Mwanza ndo mwisho wa maneno hivyo Upinzani ingekuwa kwishinee...
  4. N

    Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 yaanza kupotoshwa

    Mhh! Tafiti nyingi hapa kwetu ni za kimaslahi zaidi kuliko uhalisia wa jambo lenyewe tuna miaka sasa kuwa tuna mafuta mengi hayachimbwi hayaonekani yalipo ila wanasema yapo! Wakati majirani zetu wamefanya tafiti na wameanza kuchimba naskia hivyo
  5. N

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Anaestahili ni U PM ni Mh William Lukuvi HAPA KAZI TU!
  6. N

    Kardinali Pengo amkemea Lowassa

    Dini na siasa vinaenda pamoja kwani vinahusu ustawi wa watu kumjua Muumba wetu na kuwa na amani na watu wotee na mamlaka zote zatoka kwa Mungu! Kisichotakiwa ni siasa chonganishi! Hiyo ni sumu kama ramuli chonganishi siasa kama siasa haina shida mahali popote iwepo!
  7. N

    Mama Maria Nyerere na viongozi wastaafu wa CCM wanakuomba umpe kura yako Mh. John Magufuli

    Hongera sana Mh mzee wetu Mzee Mwinyi na Mzee Makamba mnaona mbali miaka 10 ijayo!
  8. N

    Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Kama Yesu! Kumbe siyo Yesu aahh sawa tu!
  9. N

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Safii sana kuona hilo ni jambo jema kutoa elimu hii
Back
Top Bottom