Recent content by NATAKA KULEWA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Miaka saba baada ya kufariki tx moshi william(29-03-2006), daima tunakukumbuka

    Nilipenda sana TX alivyokua anaimba na kuwatania wanamuziki wenzangu kwa mfano NGURUMO(MZEE WA MASAKI), MOMBA(BABA NATASHA), MAINA(MBUNGE WA MKUZI), MBWEMBWE(MASHARUBU)
  2. N

    JamiiForums Tanzania Haya kwa wale wa zilipendwa nani zaidi hapo?

    Hatimaye hassan bitchuka ameshinda kwa kupata kura 6 na tx moshi(rip) amepata kura mbili, hivyo bichuka ni mkali kuliko tx mushi(rip) hapa jamii forum
  3. N

    JamiiForums Tanzania Haya kwa wale wa zilipendwa nani zaidi hapo?

    Ni kweli kimbeiye,lakini tambua mkali huwa anapambana na mkali mwenzake, si mkali kupambana na m bovu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Haya kwa wale wa zilipendwa nani zaidi hapo?

    Umetisha Gang chomba, nani hapo ni mkali wa kuandika na nani ni mkali wa kuimba?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Haya kwa wale wa zilipendwa nani zaidi hapo?

    Leo nataka nifahamu nani zaidi kati ya HASSANI REHANI BITCHUKA VS TX MOSHI WILLIAM(R.I.P), kwa enzi za uhai wa TX MOSHI WILLIAM maana walikua ni washindani(Competitors) hawa. Naomba U msondo na U sikinde tuuweke pembeni ila tuangalie uwezo hapa. Haya karibuni wakereketwa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada interview ero link

    Shukrani mdau
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada interview ero link

    Mwenye kufahamu wadau na aliefanya interview pale ero link anijuze angalau nipate mwangaza interview za pale zinakuaje, coz wameniambia kesho nitafanya interview ya written, typing na computer, kwa aliyewahi kupitia pale msaada wadau
Back
Top Bottom