haya jamani baada ya kusubiri sana ajira kwa njia halali sasa natangaza ofa ya pesa japo kiduchu tu kwa mtu atakayefanikisha kupata kazi.
changamkieni fasta wadau. Nasubiria PM zenu
Ndugu zangu natafuta kazi nina degree ya human nutrition pia nimesoma courses za food science and home economics, kwa yoyote anayeweza kunisaidia ani pm. shukrani.
mkuu samahani nilipotea kidogo. nilifanya intavyuu, then wakanitumia email kuwa sijafanikiwa. leo wamenigia simu tu na kuuliza kwa sasa ninafanya wapi kazi basi. sasa hapa nimechanganyikiwa sielewi wanataka nn tana.. aah kichwa inauma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.