Recent content by nast girl

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

    Uko serious kweli we ndugu au unauthorised??? Laki sita carpet moja sh ngap??? Shuka sh ngap??? Huo mtaji fungua genge la nyanza na matunda
  2. N

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni kujidhalilisha kwa vitu vidogo vidogo

    Enzi zetu ualimu ulikuwa ni wa waliofeli....utasikia yaan kafeli hawezi kupata hata ualimu!!! Ila na wenyewe walim hasa wa vijijin wanavojiweka acha wadharauliwe tu hamna jinsi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni kujidhalilisha kwa vitu vidogo vidogo

    Huwajui walimu wewe....wanakiherehere hao watu sijui wanajifichaga nyuma ya benki wakihisi mshahara unakaribia yaaan wanajazana benki mpaka unahisi mshahara usingetoka hiyo siku wangekufa njaaa na wanarundika a haooo.....nyie walim kuepuka fedheha ndogondogo tafuteni vitu vingine vya kuwasaidia...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

    Kuhudumiwa raha saaaana asikwambie mtu yaaan upate mme anaejua wajibu wake acha wazikimbilie hizi ndoa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

    Yaani ndoa jamani...naishi mbali na mme wangu akiwa mbali nammis sana akija nakumbuka anavyoninafkia kwa michepuko yake na ambavyo alijipanga kuishi na michepuko huko uhamishoni nye*** ge xote zinaisha nabaki tu kumshangaa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naambiwa mwenye jengo lililoporomoka Kariakoo ni Kigogo, Je nani na kwanini mpaka sasa hajatajwa?

    Aliyekwambia kakudanganya....hilo jengo mwenye nalo anaitwa mbilinyi ni mkinga kaishia la saba ila ana mpunga mreeefu sana......
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Jipe moyo......
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Kakukomesha kukuambia ukweli maana unakuta na hayo mapungufu yako bado ulikuwa unachepuka kama mwehu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

    Cha mtu huliwa na mtu....ukila vya watu tegemea na chako kuliwa tena kitaliwa mpaka...huyo mkuu wa jesho yamkin alikuwa bize na michepuko huku mke anamendewa na huyo mkaka.....tutaliwa tu jaman maswala ya kutunza mbunye huku mme anazungusha njululu yake inahuuuuuu......
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

    Kwa nn jaman....kama uliyenaye anakuona wanna tafuta ambaye anakuona wa thamani kwake.....distance over disrespect dear
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

    Kila mtu afanye kinschompa furaha
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

    Unapoaje jaman....kwa hiyo mkituoa mnahisi hatutaki raha mnazowapa michepuko?? Teena tunazitaka sana kwa taarifa yenu!!
Back
Top Bottom