Recent content by NassorMohammed1990

  1. N

    Kiapo cha diwani wa Njombe ni kielelezo tosha hatuko makini katika kuchagua viongozi wetu

    Kiongozi kwa hili naomba tujitete kibongo bongo Madaraka wizi mtupu na kupeyana hakuna haki..
  2. N

    Serikali, Rudisha NMC inayomilikiwa Bakhressa watanzania tupate ahueni ya Chakula

    Wadau acheni chuki zisizo za msingi bora bakhresa apaendeleze huyo huyo.
  3. N

    Magufuli kama Raisi na kivuli cha Mkapa juu ya kuteuliwa na utendaji wake kama Raisi wa Tanzania

    Kwa Wakati tulio Kuwa nao kiongozi kama JM ndio anastahiki kabisa kupatiwa Madaraka. CCM imenifurahisha sana kwa mamuzi yao yakijasiri na kuweka mbele vitu vya msingi pasipo na matamanio yao Binafsi. Mungu atuweke wazee wetu wa Nchi hii namini bila ya wao mambo yangeharibika.
  4. N

    Wajumbe kumkomoa JK, kumpa ulaji Magufuli

    Mr Benard Membe ni kiongozi Ambaye ni chaguo la utawala wa Sasa, Kiongozi hawezi kuchaguliwa na wachache kwa kulinda Maslahi Binafsi Hali hii inaweza kuleta mchafuko na kusababisha maafa makubwa sisi wanaadamu haturidhiki. Bendera apewe makufuli au Tutapigia UKAWA. Tunataka Mabadiliko
Back
Top Bottom