kwanza kuhusu ajira baada ya kuhitimu apa KCMUco ondoa shaka kabisa, kikubwa ni nafasi tuu,
pili kuhusu vigezo ungesoma course guide book japo unapaswa uwe na ufaulu mzuri kwa misingi ya kuepuka ushindan , tatu kianzio cha ada yako ni 5K pindi unapokuja kwa ajili ya registration mkuu,
hope...
pindi utakapopata nafasi KCMUco bhasi kianzio huwa ni sh. 1M almost kwa coz zote isipokuwa physiotherapy na nursing tuu. wao huanza na 5K.
hope nimekujibu vyema mkuu.
imenibidi maana alikuwa ashaanza ona nyota nyota ndo aelewe mchango we2 madaktr sio kuuza sura bali kutoa support na kumjali yeyote bila kuangalia tofauti ze2 wala nn.
im not certain mkuu, sababu zikiwa ni vile vigezo vya uzoefu zaidi ya miaka 2 na knwledge dhidi ya ocular diseases managements ila zaidi kitakachombana ni ophthalmic dispensing knwlge.
yeah; siku zote napenda mkosoaji ambaye ni mfuatiliaji na si mkosoaji asiye na hata chembe za data kichwan, hivyo ndivyo ilivyo optometry mkuu kat ya proffesn inayokuja kwa kas kubwa sana africa na TZ ikipata bahat tayar ya kuwa na wataalam wenye hadi ngaz ya masters na PHD mkuu, (japo ni...
nayasena hayo tayar nikiwa na DATA zinazojitosheleza ila pia kama member ktk system ya wale waliohitimu na wale ongoing optometrist, SO issue ya ajra serikalin zinatolewa ila waliowengi wapo ktka private sectors while other wakiwa wamejiajiri and only few Number of them wakiwa wameajiriwa...
historia ya optometry dunian kote sambamba na nchi ze2 hiz za Africa haijawahi kutokea optometrist akakosa kazi unless otherwise akatae mwenyewe haijalishi ni ngazi gani ya taaluma amepitia either iwe diploma ama dgree wote wanahitajika kwa wingi mno na bado hawatoshelez mahitaj bado.
hivyo...
mkuu, prothetics and orthopedics pia ni coz nzur ya afya inayopatikana apa KCMUCo, ila katika kukusaidia tuu maarifa usijaribu kucompare hizo corz na optometry kabisa, huwez kuelewa nn ninachokimaanisha kwa sasa maana uko out of sight ila ukishakuwa ndn ya system (insight) utaelewa nn hasa...
mkuu hii corz, si ya leo wala jana ni kitambo kirefu sana 70`s huko ila katika ngazi ya Diploma, waasisi hao hao ndio wwametetea mpk hii leo Degree inatolewa kwa ufupi sibishan na wewe ila kwa kusaidiana maarifa na facts ni kuwa wizara ya Afya kwa ujumla wake imeidhinisha hii proffesn na...
hopefully big YES,
ila usacrifice kuiweka box ya kwanza kat ya zile tano zinazotolewa Mkuu.
karibu KCMUCo university the home of FREE ( Oxygen, WIFI, Books sc, Online exams etc
on additional to data nilizokupatia utapewa almost 3.1m straight from HESLEB, na iyo 1.3m plus 2.5k utaongezea wewe binafs bt im pretty sure kwa fedha utakazopewa unaweza ukajilipia hiyo fee wewe binafsi na change kibao tuu ztabk kufanyia mambo yako mengine mengine.
cz bajet yako optometrist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.