Nimekuelewa mkuu sema tupo kujua na kugundua biashara gan nzuri. Hii ya kobe mpaka unafanya uwe na kibali simanishishi wa kuokota tu. Mm binafsi sina kobe ila nataka kujua Value ya biashara ya kobe mfano. Ikiwa kama nina kobe. So huo ni kama mfano wa kumiliki then hujui pakupeleka. Sorr km...
Nina Kobe lakini sifaham biashara yake ntaipata wapi. Inawezkana. Poor connection niliokua nayo. Kam kuna connection za kuuza kobe tujuzaje au biashara hizi ni za nadharua
Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini napoteza.
Ni kweli mkuu uko sahihi ila siku zote mwonyeshe m.mungu sababu yako nae atakubeba asipo kubeba basi anakupima imani yako sasa wew endelea kufight one day m.mungu atakufungulia ila ukikata tamaa ukasema mafanikio ni ya baadh ya watu kwa m.mungu hutofanikiwa na unafeli mtihani wa m.mungu
Swali la sikuzote. Ikiwa ninamiliki Mali asilia ya nchi je nikiuza kwa mtu nje ya nchi yangu nitakua sina uzalendo na nchi yangu au ni mfanya biashara kama wengine.
Hali iliofikia sasa watu wanajali biashara kuliko afya. Embu chukua mfano wa biashara za ufugaji kuku wa mayai.. je mayai tunayokula ni salama?
Japo faida yake kubwa. Najiulizaga sana: hivi watu wanapaita faida au hasara? Yani pesa au mgonjwa kipi kinatawala????🤔
✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile.
Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto.
🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo.
1. KUPOTEZA NDGU NA MARAFIKI: Unapo anza...
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU?
💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?😇( hapa kichwa kinauma)
✍🏿 Ukimtizama Mo na BAKHERSA wana...
🎤 Nyenzo kuu inayotumika kuwasilisha mambo ni uongeaji kama wewe ni mfasaha wa kuongea vizuri watu watapenda kukusikiliza muda wote.
Hivyo basi katika ulimwengu wa sasa kuna haja kubwa ya mtu kujifunza mbinu za kuwasilisha ujumbe na akaelewa.
🎟️ Kama wewe ni muuzaji wa bidhaa lazima uwe na...
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿🦲👩🏿🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa.
✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁
Ndio kuna tabia lazima uzibadili ndo mafanikio ama malengo...
💧 Dunia inaongozwa na watu wanao fikiri tofauti na wengine.
💧 Ukihitaji kuongoza katika sekta Fulani labda tuseme kiuchumi lazima ufikiri tofauti.
💧Mfano pale watu wanapo sema ng'ombe wa masikini hazai wewe ili ufanikiwe fikiri tofauti na msemo huu.
✍🏿 Huwa napenda sana kusoma historia za...
Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20. Baada ya miezi sita utakuwa na laki na 20.
Mtu mwingne ana pokea laki tano na matumizi yake ya...
✍🏿✍🏿 KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU.
🖌️ Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi:
1. Kusoma makala ndefu.
2. Kusikiliza mazungumzo.
3. Matamasha na kadhalika.
👆🏽 Watu hawa kamwe hawezi kuibadili dunia au kufanya mambo ya kipekee, kwani wanakwepa ujuzi.
💧 KUELEKEA SAFARI YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.