Recent content by Nasibuhamisi

  1. N

    JamiiForums Tanzania VIBARUA VYA SAIDIA FUNDI

    Sawa naweza pata mawasiliano yako
  2. N

    JamiiForums Tanzania VIBARUA VYA SAIDIA FUNDI

    Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es salaam,Nina uzoefu kidogo wa kuskim,kupiga rangi na kujenga tofali
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Dar mbezi mwisho
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena, Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kujifunza skimming na rangi

    Habari za mda huu wanajamii, Nimerudi tena kwenu shida yangu ni sehemu gani sahihi kwa sasa naweza nikajifunza masuala ya skimming na mambo ya kupaka rangi kwa hapa Dar au kama kuna fundi yeyote atakae amua kunishika mkono juu ya hili ili na mm hapo mbeleni fani hii iweze kunisaidia katika maisha.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu wauza nguo Ilala

    Duuh maana nimeona wanauza kati ya elfu3 mpaka elfu6
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu wauza nguo Ilala

    Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale Ilala Boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa zimekunjwa vizuri. Je zina ubora upi au kuna kaujanja wanafanya.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

    Tuko pamoja
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

    Samahani nashare na ww contact ili nipate maelekezo vizuri
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

    Sawa ila naona kuja inbox inakataa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

    Nitashukuru
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

    Asante ndugu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

    Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna fundi anaweza ni push ili maisha yaende
Back
Top Bottom