Tanzania ya viwanda Never haiwezekani , Kwa staili hii .kama ice cream tu zimebaki uji ,itakuwa kiwanda . Eti mwenyekiti wa bunge anasema tunawaongezea Hadi mwezi wa 6 umeme uwe tayari kwakuwa ana solar 1000 kwake jaman
Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko?
TANESCO
Uzuri nikuwa kipindi saratani ya Koo inaongezeka Kwa Kasi ,na ospitali za Tina yake zinaongezeka pia ,upasuaji ni pesa ndogo tu.siku hizi tunanyonya Kila penye tundu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.