Kwa kawaida mwanaume huhitaji kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kuliko mwanamke, ukiona mume wako anavisingizio tele ili tu asishiriki tendo hilo.
Mara leo nimechoka sana, mara kichwa kinauma, mara leo mgongo unavuta, mara joto limezidi basi hiyo ni alama tosha ya kukujuza kuwa aidha...