Recent content by Nashukuru

  1. N

    Msaada wa Practices ya 5% charges kwenye Amendments to the Value Added Tax Act

    Mkuu nimewalima memo client amekubali kurevert malipo aliyoyakata kwenye invoice yetu na hela zetu ataturudishia kwa kuwapa sababu za msingi. Nashukuru kwa michango yenu
  2. N

    WITHHOLDING TAX from TRA? jamani yeyote mwenye kujua kuhusu hii tax atufahamishe.

    1: Amendments to the Value Added Tax Act Cap 148 VAT Exemptions (i) Incorporating under Third Schedule of the VAT Act; Special relief OF 100% has been granted to domestic textile manufacturers using locally produced cotton. This replaces the current practice of zero rating under...
  3. N

    Msaada wa Practices ya 5% charges kwenye Amendments to the Value Added Tax Act

    Kaka ukiendelea kuka kimya utakuja kuchangia watu wamekufa...tafadhali changia
  4. N

    Msaada wa Practices ya 5% charges kwenye Amendments to the Value Added Tax Act

    KAKA nYAMATALA kYONO YUPI YUKO sAHIHI CLIENT AU?pia itakuwaje operations cost wakati imekatwa kwenye fixed amount ambazo ni mshahara wa mfanyakazi?angepunguza kwenye service charges yetu that could be ok .How can you withhold 5% kwenye salaries ya mfanyakazi? ni kweli sheria mpya ya kodi...
  5. N

    Msaada wa Practices ya 5% charges kwenye Amendments to the Value Added Tax Act

    Mkuu nashukuru kwa kulielewa suala langu.. Mkuu hatukuwa tukifanya hivyo kabla na ndio maana hatukuwa tumebuni njia mbadala wa kuhold that kind of tax. Kwa jinsi makubaliano yalivyo ni vigumu kutop-up hiyo 5% kwenye recoverable cost kwa kuwa hiyo recoverable cost ni fixed amount as per monthly...
  6. N

    wanawake wanaoolewa They are not SMART

    brave kwa kuwekwa kimada na kuliwa tigo......brave kwa kufanyiwa guest kila siku?brave kwa kuwa malaya wa kubadilisha dushelele? Ona sasa hata mtoto huna
  7. N

    Msaada wa Practices ya 5% charges kwenye Amendments to the Value Added Tax Act

    Mkubwa lengo la swali langu linakuja hapa..Mimi naoperate kampuni ambayo imekuwa outsourced kazi ya kuhandle human resources staffs wa kampuni X. Hivyo sisi kampuni Y kazi yetu nikuajiri wafanyakazi kwa matakwa ya kampuni X na kuhandle all statutory requirement kama ambavyo kampuni x ingefanya...
  8. N

    Vitz inauzwa

    ikwa nini unaiuza...wakati walio wengi wanaikimbia kama gari nzuri inayotumia mafuta kidogo?Je 4M unaweza chuku nikupa muda huhu
  9. N

    Msaada wa Practices ya 5% charges kwenye Amendments to the Value Added Tax Act

    Following the budget speech of 2013/14 the government has reviewed tax laws administered by TRA that grant exemptions with a view to controlling and instituting measures to improve supervision. The proposed measures cover the following tax laws: 1. The Value Added Tax Act, CAP148 2...
  10. N

    Takwimu ya maambukizi ya VVU/UKIMWI kimkoa na wilaya kuanzia 2011 mpaka 2012

    Wakubwa naomba nisaidiwe takwimu ya maambuki ya VVU/UKIMWI kimkoa/kiwilaya kwa miaka 2011 hadi 2012.
  11. N

    Ero link recruitment agency scandal

    kwa comment yake you can smell something behind him
  12. N

    Ero link recruitment agency scandal

    Mhhhh Erolink Officer??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
  13. N

    Wanawake kwa kusengenya.....!!!!!!!

    Kweli we mtu mbunifu sana.sijui umefikiria nini lakini?
  14. N

    Kati ya mwaka 2008 mpaka sasa,ndoa nyingi zimevunjika,mahusiano hayasimami,mifarakano imezidi

    nakusubiria Passion Lady...Ila hii mada mbona wale wahanga hawaji kuchangia jamani..najua humu ndani kuna Single parent advocacy wengi mno,Devorce addictate mimi nataka waseme yamoyoni ili tunapokuwa tunasuluhisha kwenye mabaraza yetu tuwape dawa ya kurudiana tafadhali naombani
  15. N

    Ero link recruitment agency scandal

    The government has formed a team to investigate complaints of workers against recruitment agencies they accuse of engaging in exploitative arrangements, to determine if they are observing the Labor Relations Act of 2004. Speaking of initiatives taken by the government to address problems...
Back
Top Bottom