Habarini za muda huu..
Jamani Mimi nimekuja hapa kwenu kuuliza mwenye kufahamu shule inayohitaji mwalimu wa sayansi.kama unafahamu Tafadhali nijulishe Nina degree moja masomo ninayofundisha ni biology na geography.. Sanasana iwe mkoa wa dodoma au morogoro. Asanteni.
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimekuja na swala moja ambapo kiukweli linaitesa jamii yetu kisaikolojia. Kitendo cha kuzaa na mwanamke na kumwacha alee mtoto inaleta tafrani sana hasa kwenye saikolojia ya mtoto. Kuyumbishwa kwa mtoto na kumpa shida sana katika ukuaji wake.
Kuna story hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.