Ajira walimu wa sayansi

Ajira hutolewa kulingana na bajeti ya mwaka husika wa fedha, sasa naomba kujua ni mwaka upi wa fedha ambao unaulizia ajira hizo? Kwa msaada tu bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 imevurugwa.Nani kavuruga mimi simjui ila ushaidi upo kuwa imevurugwa.
 
Uhakiki wa majina 2000+ ulifanyika kwa mwezi mzima!!!!
Bila shaka hata majina ya awamu ya pili watatumia mwezi mzma tena kufikisha idadi aliyosema PM kuwa wataajiri walimu 4000+
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom