Recent content by Nashengena

  1. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Sitakaa nimkopee mtu hela. Kama sina ndio basi tena.
  2. Nashengena

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia hizi kampeni, na ukisikiliza sera za wagombea urais, utagundua nchi imeshajichokea

    Kila familia itapata trekta moja au mawili. Khaa
  3. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Utawawapata kwa tochi. Mbona wengine tulianza uhusiano tukiwa na 24, sio big deal kihivyo.
  4. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Sio wa siku hizi. Kwanza hao bikra utawapata kwa tochi. Halafu bikra mnatakiwa muwe wote bikra sio wewe unachovya hovyo halafu unataka bikra loh.
  5. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Mhhh, wapo walioolewa bikra na wakawasaliti waume zao na ndoa zimevunjika. Inategemea na akili ya mtu.
  6. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Hizo ni zile ambazo zimetolewa taarifa. Za kimya kimya huenda zikawa nyingi zaidi.
  7. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Ndio tunamshauri maana naona hayuko sawa.
  8. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Yaani
  9. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Kuna ndoa ya mtoto wa dada inaelekea kuvunjika. Mwanamke karudi kwa EX wake ambaye ana mke tayari . Ndoa ina 2 years.
  10. Nashengena

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

    Baadhi ya channel, eg YouTube
  11. Nashengena

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

    Kama anasikilizwa na CHADEMA tu, kwanini wamezima mitandao?
  12. Nashengena

    JamiiForums Tanzania Wajue Wanandoa waliopitishwa kugombea Ubunge CCM mfano Mr&mrs Dr Kigwangala, Mr$ mrs Ulega, Mr$ mrs Uwesu nk

    Mmeshasahau kilichotokea uchaguzi 2020 na wa serikali za mitaa 2024? Unadhani upinzani wangepata hata jambo moja?
  13. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Wa kwangu hata simchapi ila toka akiwa mdogo ni marufuku kuchezea simu yangu. Mpaka sasa anajua mipaka yake. Akila chakula atoe vyombo mezani na kama hakuna vyombo vingine aoshe sahani yake. Kufua boxer na socks zake ,kazi yangu ni kumalizia kuzifua ili zitakate vizuri. Marufuku kufungua mlango...
  14. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Ndio tatizo la watu wengi. Mimi wa kwangu kazi yake kupanda gari tena nikiwepo , ni marufuku sijui kwenda kuwasha gari. Akifikia umri unaostahili nitampeleka shule ajifunze udereva. Kuna kaka yangu mmoja mjukuu wake aliwasha gari na kukanyaga mafuta akabomoa ukuta. Kaka yangu alishikwa na...
  15. Nashengena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Hivi nani kawaambia kuna majina sijui ya kikristo na kiislam? Kila nchi ina asili ya majina yao, sisi wabongo ndio hatuwapi majina ya kwetu sababu ya kuwa kautumwa fulani. Mtu akitaka kumpa mtoto jina ampe tu ila hayana uhusiano na dini.
Back
Top Bottom