Katika maisha ya binaadamu kuna starehe nyingi sana,na watu hutofautiana katika hili,lakini kuna starehe ya watu wengi ambayo haipingiki kwa watu,kwangu mimi starehe kubwa ni mpira,ila unamkuta mwanaume/kijana eti hapendi mpira na sababau zzisizo na maana huwa nahisi kama wanakosa starehe moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.