Recent content by Nas E

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio afya ya mgombea, Ila...

    Vigezo vya kitoto sana !, hv umesahau afya ya rais wa kenya ilivyokuwa , na kwa enzi yake rais F. Roosevelt wa USA je unajua alikuwa ktk hali gani kiafya kipindi anagombea ! ?, hujasoma hata historia au tatizo ni nini !?, jaribu kuwa mfuatiliaji kabla ya kuandika ukurasa mrefu wa maelezo ...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

    That was the name of the session ! , they do not use words that shows the signs of what you call "GOLI LA MKONO !", PEOPLES WILL CHOOSE ONE..
  3. N

    JamiiForums Tanzania Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

    Kama kuchoka ni tatizo kwako basi wote linawakuta hilo , umesahau Magufuli sauti yake kushindwa kutoka wiki ya pili tu ya kampeni !?, hakuna anayetumia petroli wala diseli !,wote ni binaadam na wana mwili wa nyama na damu ndugu. Au umesahau rais wetu Jk kuanguka akiwa jukwaani wakati akiongea na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    wamechelewa sana na mbinu zao !, too late for them !,, hii si miaka ile !
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa chama fulani kuongelea chama kingine kwa kukichafua

    Wewe siyo mfuatiliaji wa mambo, siyo mdadisi na mbaya zaidi hupendi kujifunza !, unataka kuendekeza malumbano na hapa unataka mabishano yasiyo na mantiki yoyote na ndyo maana hupaswi kujibiwa maana huna hoja zaidi ya kwamba umekanusha !
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa chama fulani kuongelea chama kingine kwa kukichafua

    Hilo la viwanda aliligusia mwandishi Martin Malima akisisitiza mwandishi kuwa sehemu ya kuelimisha kama moja ya kazi yake badala ya kupotosha ukweli ulio wazi..
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa chama fulani kuongelea chama kingine kwa kukichafua

    Jamii ya akina Polepole inazungumziwa ndani ya "Jicho La Habari" Star TV. Ni kuhusu mwanachama wa chama fulani kuongelea jambo linalohusu chama kingine kwa kukichafua ama kuongelea mabaya yake tu na kukiremba chama chake as if hakina mapungufu ya kuzungumziwa ndani yake! Hapa nimekumbuka...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Mfumo unaletwa na nini ?, hao wanaong'ata na kupuliza kwamba wapo ccm na wanafadhili upande wa pili kwani wamehama huko ccm !?, maana yake wanatega popote wamo na ukumbuke ni watu wenye nguvu na ni hao hao waliouharibu mfumo ndani ya ccm !, vp unahisi watapoingia wapya kwenye system mpya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Kwa hiyo tumulike upande wa rais pekee !?, tuache wengine wanaogombea nyadhifa nyinginezo kama ubunge na udiwani ! ?, inatubidi tuiangalie vizuri mizani ilivyokaa tunapochanganua mambo !, waliohusika kwenye escrow wengi leo wamepitishwa na wanagombea ubunge !, ama tuamini kuwa kupitishwa kuna...
Back
Top Bottom