lazima tukubaliane kuwa chadema ndo chama pinzani kilicho madhubuti Tanzania. kukibeza ni kubeza mfumo wa vyama vingi na hivyo kushabikia mfumo wa chama kimoja ambao matokeo yake ni kuburuzana.
kinacho endelea chadema ni kipindi cha mpito ambacho ni jambo la kutarajiwa kwenye siasa, kitapata tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.