Recent content by Narasa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada body spray nzuri kwa wanawake

    ELOPE
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huyu shemeji yangu simuelewi

    Habari zenu wakuu, Naombeni mawazo yenu, Dada yangu kanifuata leo ofisini akinieleza matatizo yake kama kaka yake ukweli nimemwambia asubiri mpaka kesho nitampa jibu. Dada yangu ameolewa na mtu mwenye cheo kikubwa tu serikalini cha ajabu wana miaka zaidi ya kumi hawana hata kibanda wamepanga...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

    Acha hizo mkuu!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

    Nakuelewa sasa mkuu hiyo kitu alinifanyia yeye
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

    Kila kitu mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

    Hapana aliniletea mpya kabisa setting ya kila kitu nilifanya mwenyewe
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

    Wana jukwaa nawasalimu, Kuna jambo nakabiliana nalo naombeni ushauri wenu nina mchumba wangu ila tumejaliwa mtoto mmoja hatujafunga ndoa bado. Mwenzangu alipata nafasi ya kweda China masomoni kwa muda mfupi alivyorudi akaniletea simu IPhone, sasa tatizo lililonileta hapa toka aniletee hii...
Back
Top Bottom