Muulize Prof Kabudi kuhusu bar exam alifanya Mara ngapi?? Na aliupataje uwakili?? Kufeli sio kushindwa kumbukeni unaweza kufeli kuwa mhasibu lkn ukapasua na kuwa Wakili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnaelewa mambo vizuri kabla ya kuzungumza na kumsifu MTU
Prof Kabudi no academician advisor na huo uzoefu ulioueleza hakuna mahali nimeona commercial issues zaid ya political na kutengeneza Sera jambo ambalo hata mqenye degree moja kama mm naweza kulifanya.
Issue yetu inahitaji commercial...
Nakubaliana kabisa na the citizen na makala yao has a mchabuzi Advocate Mgaya.
Skills ndizo zinazohitajika tatizo Mkulu anafikiri mtu akiwa professor, au Dr basi anajua sana, sina elimu kubwa lakini sijawahi kuona ujuzi wa kitaaluma wa Professor Kabudi zaidi ya kujua kuwa in mwalimu kwa miaka...
Tuache kujitoa akili barick hawakuja na bunduki tuliwafuata wenuewe na Yukawa ten gene sea sheria zilizopitishwa na binge kwa makelele mengi, Leo tunawaita majina yote mabaya.
Ccm ndo adui yetu mkubwa wamwtuingiza hapa na Leo eti wanataka kututoa na as watz tulivyo na akili ndogo tunashangilia...
Akili zako yazikutoshi, mabepari waliotufikisha hapa kwa kusaini mikataba mibovu mnawasujudia, mnawalinda, mnawawekea red carpet na kuwasifu kuwa ni mashujaa wenu.
Watanzania tunaelewa tatizo kubwa ccm, km kuna bepari wa kupambana nae in ccm, tukiitoa tutakuwa salama.
Sent using Jamii Forums...
Tunataka kujua makinikia imeishia WAP
Tunataka kujua tunajitoaje kwenye mikataba mibovu
Tunataka kujua hatma ya mikataba hiyi
Tunataka kujua waliotuingiza hapo inakuwaje
Ishu za sheria za dharura wakati dhahabu imeisha na sheria hiyo haitusaidii kwenye hasara ccm waliuotuingiza yanini kuijadili
Siku zote mtu anapofanya jambo bila kufuata sheria za manunuzi ambazo zipo na anaposimamia jambo hilo kwa ubabe na si sheria basi tambueni kuna upigaji.
Tujikumbushe bombardier zimenunuliwa bila kufuata aheria, ujenzi unafanyika bila kufuata aheria wala tender hazitangazwi, Pesa za serikali...
Ccm inajitekenya na kucheka yenyewe, inajamba na kunusa ushuzi wake.
Wabunge wa ccm walipitisha sheria hizi mbovu za uuaji kwa vifijo na vigelele na wakamwaga zege kwenye kaburi hilo la mikataba mibovu kuwa iwe Siri.
Leo mnafukua makaburi na kutuonyesha mifupa alafu mmetandika mikeka mnalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.