Unakosea unapofananisha miamba ya sehemu tofauti za nchi....kumbuka kuwa miamba haiko "homogenous" na ingawaninaweza kuwa na madini ya thamani ya aina ile ile lakini rock formation inaweza kuwa tofauti sana. Mfano, miamba ya Nyamongo na maeneo mengi ya Tarime, yapo karibu sana na Bonde la Ufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.