Recent content by Nanyaro Ephata

 1. Nanyaro Ephata

  Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

  KATIKATI YA MAJONZI: Ndiyo Nagutuka kuwa Tuliyempoteza ni Shujaa Aliyepitwa na Wakati! Anaandika Peter Msigwa Sitaki kuwabishia wale wanaomwita Shujaa. Tofauti yangu na wao ni fikra tu. Kuna fikra za kisasa na fikra za kizamani! Ukweli ni kwamba Mpendwa wetu JPM alikuwa ni mtawala wa zamani...
 2. Nanyaro Ephata

  CCM ni chama mfu, kimeshindwa kusimamia Ilani yake maswala ya jinsia

  Ficha upumbavu wako...hakikisha vidole vinashirikiana na ubongo wako
 3. Nanyaro Ephata

  CCM ni chama mfu, kimeshindwa kusimamia Ilani yake maswala ya jinsia

  Hapa tunazungumza jinsia tu hayo mengine ndio ujinga wako Ulivo mshamba zaidi huwezi hata kufikiria wanaomaliza vyuo vikuu wanawake ni wangapi vs wanaume. Kufikiria kuwa wanaume tu ndio wenye uwezo ni uwendawazimu
 4. Nanyaro Ephata

  CCM ni chama mfu, kimeshindwa kusimamia Ilani yake maswala ya jinsia

  Hoja kuwa uteuzi unafanywa bases on merits ni hoja za kishamba tu,maana kuna wanawake wengi wana merits zaidi ya wanaume
 5. Nanyaro Ephata

  CCM ni chama mfu, kimeshindwa kusimamia Ilani yake maswala ya jinsia

  Niliwahi kuandika huko nyuma kuwa ccm ni chama mfu,chama kilichopoteza Dira na Itikadi! Chama ambacho kimeshindwa kusimamia serikali yake yenyewe ni chama kilichokufa Chama ambacho kimeshindwa kusimamia utekelazaji wa ilani yake ni chama mfu! Kuanzia ilani ya uchaguzi ya mwaka 2010 hadi leo...
 6. Nanyaro Ephata

  Viongozi wengi awamu ya hayati Magufuli ni wanafiki na waongo

  Ibadilike kutoka wapi kwenda wapi
 7. Nanyaro Ephata

  Viongozi wengi awamu ya hayati Magufuli ni wanafiki na waongo

  Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo! Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na wasiokuwa na msimamo wa jambo wanaloliamini na kuwa tayari kulisimamia Akiwa waziri tena mwenye taaluma...
 8. Nanyaro Ephata

  Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

  Mkuu hii ndio makala yenyewe au ni sehemu ya makala? Angalau kwa hotuba ya leo SSH sio JPM hata kwenye matamshi mfano tutaongeza wigo,tu(ni) Ni kweli SSH ni ccm kama alivokuwa JPM ila kumsifia leo haimaanishi hatokosolewa kesho!
 9. Nanyaro Ephata

  Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

  Hoja yako kuwa mission ya kwanza ikikuwa 2020 kumwondoa kwa kura au maandamano ni hoja dhaifu 2020 uchaguzi ulikuwa kwa mujibu wa sheria na kila chama kilishiriki kwa mujibu wa sheria,kila chama kilichoshiriki ikiwepo ccm na Chadema kilikuwa na lengo moja tu kushinda na kuongoza...
 10. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Abramovich the billionaire from nowhere

  Jina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE CHAPTER 10 MISTER CHELSKI Mwandishi anasema kuwa Abramovich alikuwa anapenda mpira wa miguu,na alikuwa mfadhili wa timu kadhaa huko kwao Urusi.Mwanzoni alipenda zaidi ligi ya Italy na Spain na alipenda kumilki klabu kwenye moja ya ligi...
 11. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Abramovich the billionaire from nowhere

  Jina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE Mwandishi.DominicMidgley and ChrisHutchins Mchambuzi.Nanyaro EJ CHAPTER SEVEN A FROZEN KINGDOM Mwandishi anasema kuwa Abramovich aligombea kuwa gavana wa jimbo la Chukotka,hili lilikuwa jimbo la jamii ya watu duni,watu maskini.Ila lilikuwa...
 12. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Abramovich the billionaire from nowhere

  Jina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE Mwandishi.DominicMidgley and ChrisHutchins Mchambuzi.Nanyaro EJ CHAPTER THREE HITTING THE JACKPOT Mwandishi anasema kuwa moja ya sifa kubwa ya Abramovich ni uwezo wake wa kutambua mtu sahihi kwa wakati sahihi na kufanya nae urafiki.Jamaa...
 13. Nanyaro Ephata

  Uchambuzi: Abramovich the billionaire from nowhere

  Jina la kitabu.ABRAMOVICH THE BILLIONAIRE FROM NOWHERE Mwandishi.DominicMidgley and ChrisHutchins Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anasema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 1999 hakuna gazeti lolote lililokuwa na hata picha tu ya Abramovich.Ila hadi wakati huo tayari Abramovich...
Top Bottom