Recent content by nane nane

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chadema yagoma Daktari wa serikali kuchunguza kifo cha Dereva wa Heche, yaleta Daktari wa Chama chao

    Kwa hiyo aliefunga mlango kwa ndan ni nan hapo loji?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Watoto mmoja kavuka miaka 7 yupo darasa la nne mwingine bado hajavuka ila yupo darasa la kwanza, je nifanyaje watoto wote niweze kubaki nao
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Sifahamu sababu ni nin miezi miwili nyuma alihama chumban nilipomuliza sababu hakusema
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Nyumba nimejenga mwenyewe mkuu yeye hajui bei ya kiwanja wala tofari
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu. Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
Back
Top Bottom