WAAMBIE watu Kwanini mmenyimwa misaada na hao mnaowaita MABEBERU??
Kwanini mnapopewa pesa hamsemi MABEBERU wametuchangia kiasi hiki?? Wanapowanyima mnabadili jina eti MABEBERU!😄😄😄
WAAMBIE watu Kwanini mmenyomwa misaada na hao mnaowaita MABEBERU??
Kwanini mnapopewa pesa hamsemi MABEBERU wametuchangia kiasi hiki?? Wanapowanyima mnabadili jina eti MABEBERU!
We ni mjinga hujui logic, nazingumza ukishakula chakula kinabadilika form kuwa MAVI, then ni lazima uende KUNYA, mahali pa kunyea ni chooni, vyoo msaada Katia mzungu,hapo mzungu amekusadia KUNYA,Yaani mahali pa kunyea, unless huko kwenu kama mnanyea PORINI,vichakani
Hao ni CCM 😄😄 wanapotaka MARIDHIANO kabla ya kuwajibika, kukiri MAUAJI ya 29 0ctober na WIZI WA kura!! Rekebisha heading, weka CCM wanataka haki bila kutimiza wajibu "
H
ivi huoni aibu Tanzania kupewa mpaka MISAADA YA KUNYA?? kula tule sisi,KUNYA tunye sissi ,halafu pakunyea Vyoo tupate msaada na WAZUNGU??🤣🤣🤣 Hizo pesa zinashindwa kujenga vyoo mashuleni?? Yaani Mpaka KUNYA mnasaidiwa na WAZUNGU??🤣🤣🤣 Hii nchi tatizo ni Viongozi, lack of vision/focus 🤔🤔🤔
Ni kwasababu WACHANGIAJI wengi ni WEZI, MAFISADI, WAAUZA MADAWA YA KULEVYA,WAKWEPA KODI, NA AMBAO MIKONO YAO IMECHAFUKA DAMU YA OCTOBER 29!
CHADEMA inapata mchango Toka an innocent peole wenye uwezo wa kiuchumi wa kawaida!!
Kwenu WEZI MAFISADI na wengine wote wanochangia Huwa wanajikomba kwa...
Ni kwasababu WACHANGIAJI wengi ni WEZI, MAFISADI, WAAUZA MADAWA YA KULEVYA,WAKWEPA KODI, NA AMBAO MIKONO YAO IMECHAFUKA DAMU YA OCTOBER 29!
CHADEMA inapata mchango Toka an innocent peole wenye uwezo wa kiuchumi wa kawaida!!
Kwenu WEZI MAFISADI na wengine wote wanochangia Huwa wanajikomba kwa...
Kijana umegeuka kuwa CHAWA!! sikulaumu ni njaa inakusumbua.
Zamani ulikuwa unaandika vitu vya maana Logical, sasa ni pumba tupu.
Inaonekana hujui historia, kazi ya historia, umuhimu wa historia ya watu waliokufa na kuacha ALAMA njema kwazo watu wajifunze.Eti mtu akifa amekufa.
Samahani kama...
Veep kuhusu Viongozi WEZI wa AMALI za umma,wanaotajwa kila mwaka kutafuna na kuona pesa za Serikali WAFANYWE NINI??
Walioua October 29 WAFANYWE NINI??🤔🤔
VIJANA KUKOSA ADABU kadiri yako ni tatizo katika nchi KULIKO WIZI?? KULIKO UFISADI?? KULIKO KUUA WATU?? KULIKO KUTEKA WATU??
Kuna wakati...
Mayala
Paskal, nabii yoyote alipotoa unabii ukatimia ndio hapo unabii wake wa kwanza ulipotimia na unaweza kuwa rejea reference kwa unabii wa pili!!
Kifupi swali lako limekosa logic!!
Ulipaswa uulize huu ni unabii wake wa ngapi? au ni WA kwanza??
Kimsingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.