Recent content by Nanaa jolie

  1. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu anatawaliwa na falme mbili

    Ukilipata niite
  2. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Napoleon Bonaparte; Gwiji wa Hesabu, Mwanajeshi wa Mfano!

    Na wana mapenzi ya dhati watu wafupi
  3. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumai kitu chochote au jambo lenye urahisi kuwa ndani ya dakika kadhaa

    nilikuuliza kuhusu hitaji la kupata pesa kulingana na uzi unavyosema,,, ukaniambia utanipa maelekezo jinsi ya kutamka hayo maneno
  4. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumai kitu chochote au jambo lenye urahisi kuwa ndani ya dakika kadhaa

    Rakims nasubiri maelekezo
  5. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumai kitu chochote au jambo lenye urahisi kuwa ndani ya dakika kadhaa

    shida yangu ni pesa mipango yangu imekwama ghafla
  6. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumai kitu chochote au jambo lenye urahisi kuwa ndani ya dakika kadhaa

    Nataka nifanye hili zoezi kuna shida imenikaba hasa... Naan Kutamka hitaji langu na hayo maneno mara ngapi
  7. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Vita ya biashara ya machimbo ya ziwani: Mazingara na Miiko ya Uvuvi wa Dagaa katika Ziwa Victoria

    Hizo ni story ambazo zipo zifanyie utafiti
  8. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kuondoa msongamano wa watu Kariakoo, Dar es Salaam

    K/koo lazima twende kudhibitisha ubora wa bidhaa na mali halisi... Wtz si waaminifu ukiagiza kupata unachotaka ni bahati na bla bla nyingii....
  9. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Vita ya biashara ya machimbo ya ziwani: Mazingara na Miiko ya Uvuvi wa Dagaa katika Ziwa Victoria

    Am sorry wote mliokuja pm naomba niwajibu hapa nafanya ivi sababu nilishawahi kupigwa humu ndani na hii imepelekea nisimuamini mtu..... Mpaka niakaamua kufungua id mpya. Haya fursa zilizopo visiwani yapo mie sio mwenyeji ni 1) Docta, nurse, phamacist Kwa wenye hii fani huko pesa ipo sana kwani...
  10. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Ujasusi Sebuleni Kwetu

    Ukisikia utamu umekata ndo huu sasa
  11. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Je, nini kilimpoteza mwanamuziki Jim Sullivan baada ya kuimba kuhusu kutekwa na Aliens?

    Kuna mengi tusiyoyajua na wachache ndo wanaojua... haiwezekani mtu apotee na asijulikane alipo ingekua huku africa ningeamini maana wapelelezi wetu hawako makini,,, lkn huko kwa wazungu ni wazi kuna jambo tena kubwa
  12. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Vita ya biashara ya machimbo ya ziwani: Mazingara na Miiko ya Uvuvi wa Dagaa katika Ziwa Victoria

    Wako wengi sana... Vigezo vyenu nyie ndo vinawafanya muone wako wachache
  13. Nanaa jolie

    JamiiForums Tanzania Vita ya biashara ya machimbo ya ziwani: Mazingara na Miiko ya Uvuvi wa Dagaa katika Ziwa Victoria

    Walinisumbua lkn sikupata tabu coz wale wamama wamepinda balaa waliniprotect vizuri
Back
Top Bottom