Recent content by Namuchi braver

  1. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini maeneo yote yaliyotawaliwa Na waarabu ni maskini sana?

    Na Tz kuna mikoa TJiri😂😂😂 Hata kama sijatembea
  2. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi inayofundisha mpira wa miguu Tanzania bara ipo?

    Tafadhari mwenye kujua shule inayofundisha mpira wa miguu na kutoa elimu ya shule ya msingi kwa Tanzania bara naomba anijuze.
  3. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

    Hakuna Madhara yoyote yale, kwani sisi watu wa kusini ni kawaida yetu tangu zamani sana. Na sijasikia athari ya aina yoyote ile... Na kama ni Mbuzi basi huwa tamu zaidi ya nyama ya ndani... Jaribu mkuuu ngozi Tamu sana
  4. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wabkn Wabongo kujua jamank.. Vita hiyoo
  5. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Imani👹👹

    Wakubwa na ndugu zangu naamini Mungu katujalia utajiri wenye thamani, namaanisha Afya. Tuseme Asante...... Kila siku nimekuwa nikifuatilia taarifa kwenye kurasa na blog mbalimbali miongoni mwa hizo ni jamii forums. Sehemu nyingi kati ya hizo ninakumbana na taarifa juu ya upatikani wa utajili...
  6. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Miji iliyokua zamani ila sasa imezeeka

    Unasahau vipi Mtwara??
  7. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Jifunze kitu hapa👇👇

    Vijana wengi tunaona maisha magumu sana sio kwamba hatujitumi, hapana. Ila shida ni kutaka kujilinganisha na mafanikio ya watu waliokizi umri wa utafutaji, ingawa pia wapo tunajilinganisha na rika letu, hata hivyo tunasahau historia au hali ya uchumi wa familia zao Ninachoamini kipi? Kwangu...
  8. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    Sasa wanaoishi maisha ambayo ya shida kiamaish kwamba hawapendwi na wazazi wao? Samahani fuatilia ndoa ya mjomba, au bab zetu.. Waulize alipooa alikuwa na kitu gani kabla? Wengi huanz na sifuri mwisho hujikuta walipo sasa
  9. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    Miak 30 bila ndoa ni hatari mno mkuu.. Huyo mke ndo anasema utanioa ukimgusa tu.. Huwa hawaolewi kwa mapenz ya kweli zaid ya kuwa na hamu ya ndoa... Mwanamke amezid sana miak 27 awe ameolewa
  10. Namuchi braver

    JamiiForums Tanzania Anayeanzisha vita, huwa ni kwa maslahi ya wananchi au viongozi?

    Kiimani ni kwamba ukiona mtu kafa ujue siku yake imefika Vuta picha nchi yako ingekuwa mpaka leo inatawaliwa ungekuwa katika hali gani? Je ungempata rais wako wa sasa ukaw unampongeza au kumponda? Mara nyingi serikari huwa na nia ya kulinda amani hivyo wanapoona kuna dalili ya kukosekana...
  11. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    Mungu wetu mwema atajalia mkuu.. Asante sana kwa maneno mazuri
  12. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    Bonge la maneno mazuri kwa upande wa kushauri... Asante sana pamoja na ya wote ila kwako umenishauri vizuri zaidi. Maneno nayakopi kichwani kwangu nitasimama nayo🙏🙏
  13. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    Yaap mkuu... Majukumu hayakwepeki tutayapunguza kwa kadri tutakavyoweza.
  14. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    😂😂 yupo under control ya wazazi.. Sina wasiwasi nae maana naamini ana malengo na mimi na mimi pia ninamalengo nae.. Labda kubadilika mbele kwa tamaa nyinginezo.. Ambazo huzijui.. Kama ujuavyo unaweza kuwa na pesa ndoa ikakuzingua kabisa na hata usitamani.. Na asienazo akampat mtulivu lich ya...
  15. Namuchi braver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninatarajia kuoa nitakapomaliza kusoma mwezi wa 7 mwaka huu, nitakuwa nimewahi?

    Naona fasta kwa kiasi hicho kwa kuwa... 1 Mimi kama kijana wanawake ni muhimu kuwa nae kwa mahitaji ya ndoa hivyo nikiwa nae nitapunguz gharam na umalaya... Maan kuna likizo nilikuw inanigharimu 20 kumfuat na kumrudisha na posho kidogo😂😂😂😂😂 nimebana hapo... 2 Kuoa ni sehemu yaaisha kwa maan...
Back
Top Bottom