Profesa hana kiti zaidi kusoma vitabu na kwenda kuwasimulia wanachuo darasani. Huku serikalini wanasuffocate sana hata huo uwaziri waliopewa hawajui hata wafanye nini wamebaki kusahisha taarifa na maandiko ya watendaji kama wako vyuoni.
Waislam wangekuwa watulivu wao kwa wao kwenye nchi zao, dunia ingewaamini lakini wao wenyewe wanauana watu wengine watawaamini vipi. Yemen, Afighstan, somalia vurugu tupu, na juzi Yemen wamerusha makombora uwanja wa ndege huko Saudia. wakimbizi wakubwa wanaoomba uraia ulaya na america ni kutoka...
Kwanza ccm haina wafurukutwa ina wanachama maslahi tu, ndio waliobaki. Amini usiami ikitokea paa! ccm ikaanguka, nakuhakikishia hautapita hata mwezi, hutasikia mtanzania yeyote anajiita yeye ni ccm.
Nchi hii inapande mbili tu, ccm inayotiwa nguvu na dola na chadema inayotiwa nguvu na wananchi. Mtungi anaelewa ndio maana anaogopa hata kutamka neno chadema. Hivyo vyama vingine vyote vinaupande hakuna kilichoneutral.
Mwanaume anaye ***** kwa ridhaa yake anaitwa msenge na mfiraji anaitwa basha. Mwanaume anayefirwa kuitwa shoga ni lugha ya kuwabebeleza kwamba kitendo cha kufirwa ni cha kijamii, jambo ambalo ni kufuru. Hao wasenge waitwe wasenge tu kama inavyotakiwa, tusiwachafulie dada zetu lugha yao nzuri ya...
Rwanda wamepona kwa sababu Kagame ni Rais ambaye ana IQ kubwa (yuko vizuri upstairs) huwezi ukanfananisha na marais hawa ambao wamesukumwa na upepo tu kuingia Ikulu. Kongo wamepona kwa sababu ya vita na Ebora, bonge aliogopa akipitapita huko anaweza kurudi na virus au risasi.
Waasisi sio Mungu kwamba hata baada ya miaka zaidi ya 60 walijua nini kitatokea. Kwahiyo tusiite mabadiliko ni usaliti. Dunia wakati wote iko kwenye mabadiliko haiwezi kusimama pale ilipo kuogopa eti mawazo ya Nyerere na Karume. Muungano ni wa nchi mbili wala sio wa mikoa 26 hivyo usifananishe...
Hukumu hii imefuta sifa zote za Magufuli kwamba alikuwa anajali wanyonge, hukumu hii inatoa hitimisho kuwa magufuli alikuwa fisadi kwa sababu fisadi ni mtu anayetumia fedha za umma kwa kukiuka taratibu za matumizi ya fedha zilizowekwa kisheria. Magufuli badala ya kdeal na mafisadi wa fedha za...
Hapo ndo utakapo jua viongozi wetu wa hovyo, maandamano yapo kila sehemu ila ya wenzetu hawawaui raia wao na kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja kisa wamechoma mipira barabarani.
Kama Jane alitaka jina lake liwe kwenye hati ina maana alikuwa hamwamini mume wake waliyezaa naye watoto wanne! Alitaka jina lake litokee kwenye hati ili iweje!? Kiafrika watoto wanarithi mali ya baba. Kutaka jina lake liwe kwenye hati maana yake alitaka watoto wao waje wapate hiyo mali kama...
Jitu linatoka kwake saa 12 asubuhi badala kwenda kwenye shughuli za uzalishaji linabeba speaker kwenda kuhubiri vituo vya daladala huku limetega bakuli ya sadaka. Ghana wamefanya vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.