Recent content by nampendayeye

  1. N

    Kwa hili la mamilioni kukutwa majumbani mwa watumishi, Rais badili pesa haraka

    Mm sipendi story za mtaani. Kuna ushahidi wa hili linalosemwa?? Je source yake ni nini? Naomba source ya hili jambo ili nami niliamini make sijaiamini hii habari ya ndoo za dola wala m200 na m150. Nikisema source namaanisha mamlaka iliyotangaza kukutwa hizo fedha majumbani mwa watu na kituo cha...
  2. N

    Kwa hali hii ya kivuko cha kwenda/ kutoka Kigamboni kuwahi kazini ni ngumu

    Hapa nimepanda kivuko kikubwa, utadhani kimewekwa juu ya maji kielee chenyewe na kufika ng'ambo ya pili ni kudra za Mungu. Hivi vivuko vinatutesa jamani.
  3. N

    Kwa hali hii ya kivuko cha kwenda/ kutoka Kigamboni kuwahi kazini ni ngumu

    Imagine mtu unafika hapa ferry saa moja kamili alafu bahati mbaya ukikuta vivuko vyote viko ng'ambo basi ujue mpaka unavuka ni saa mbili. Mimi nashangaa kwa maana kutoka ng'ambo moja kwenda nyingine ni mwendo wa dakika tano. Je, kuna umakusudi wowote wa kutuchelewesha au ni matatizo ya vivuko?
  4. N

    Kilwa Road ni kero kwa waendesha magari

    Hivi hii barabara ya Kilwa iko chini ya Tanroads au mtu binafsi? Hii barabara tangu ianze kurekebishwa haijawahi kuisha. Watu wamepasua sana tairi zao za magari hasa wale wanaotoka Mbagala kwenda mjini. Hivi gari likipasua tairi kama mtu anafile kesi si anaweza kuishtaki serikali? Kwa maana...
  5. N

    Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    Asante sana wapendwa kwa ushauri wenu mzuri.
  6. N

    Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    Mkuu nahitaji kati ya hizo mbili. LG na Samsung. Naomba ulinganisho wa hizo mbili. Alafu unapatikana wapi mkuu?
  7. N

    Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    Tuweke siasa pembeni mkuu. Thread za siasa zipo kwenye jukwaa la siasa. Plz plz niachie uzi wangu huu nisaidiwe na wanaojua.
  8. N

    Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    Asante mpendwa kwa ushauri wako.
  9. N

    Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    Wapendwa naomba msaada ni ipi TV nzuri kwa uimara na ubora kati ya LG inchi 32 na Sumsung inchi 32. Naomba msaada wenu niko njia panda. Pia kwa mwenye kujua anisaidie na bei zake sokoni ziko vipi kwa size hizo nilizotoa. Natanguliza shukrani.
  10. N

    Ushauri juu ya maziwa ya mtoto wa miezi miwili na pointi.

    Asante sana mpendwa. Mungu akubariki sana tena sana. Kwa hiyo rank ilivyo ndo ubora ulivyo? Au hayana tofauti?
  11. N

    Ushauri juu ya maziwa ya mtoto wa miezi miwili na pointi.

    Ni maziwa gani mazuri ya mtoto wa umri wa miezi miwili. Kwa maana wife anataka kumwanzishia mtoto maziwa kwani likizo ya uzazi ndo inaisha. Naomba msaada wenu wazazi wenye uzoefu na maziwa ya mtoto.
  12. N

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Tosa boys. Daaaa naikumbuka sana ipamba.
  13. N

    Pongezi: Jeshi la Polisi mnastahili pongezi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    Jeshi la polisi limezuia maandamano ya aina yoyote katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Nawapongeza kwa kuzuia maandamano yaliyokuwa yafanyike na vijana wa chama flani mpaka kupelekewa kukamatwa kwao na kufikishwa mahakamani. Sasa naona matangazo ya maandamano na wafuasi flani wa 'chama' flani...
  14. N

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Star tv, kwa nini wasiwaite Tundu Lissu na Dr Slaa wakaweka mjadala mpana? Wanategeshea tusikilize upande mmoja tu, kwa nini? Alafu star tv wanachukua Lissu kwenye record!!!!!
Back
Top Bottom