Recent content by namikoha

  1. N

    Nasumbuka na uzazi

    pole sanaa S pole sanaa Sis, je bwanashemeji yupo vzuri? amepima sperm count? unaweza ukawa unahangaika wewe kumbe bro anashida ya kutoa mbegu bora. Usikate tamaa miaka mitatu bado ni michache ukizingatia hii ni zawadi kutoka kwa M.Mungu humpa amtakaye na kwa muda autakae yeye.
  2. N

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    pole sanaaa, Mcheki huyu umueleze shida yako 0674731277
  3. N

    Dawa nzuri ya kutoa gesi na miungurumo tumbo

    WANAUZA ELF 72 mkuu, au mcheki huyu Dada 0758768855 au isearch kwa mwalimu Google upate dondoo kabla ya kumpigia simu.
  4. N

    Msaada: Huduma ya kuingiziwa mbegu za kiume (IUI) inapatikana wapi Tanzania na kwa gharama gani

    Nenda MSASANI PENINSULA HOSPTIAL, Ulizia DK. Shafiq lakini atahitaji historia yenu kabla kuingia kwenye IUI. Kumbuka IUI pia nikama bahati naweza sema kwakuwa inaasilimia ndogo pia. Nimefanya mwezi uliopita sijafanyikiwa bado so dk kasema inabidi kufanya mara3 mfululizo ikishindikana tuje kwenye...
  5. N

    Dawa nzuri ya kutoa gesi na miungurumo tumbo

    Em cheki kitu cha edmark SHAKE OFF NI NOUMA SANAAA
  6. N

    Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

    Ahsante sana mkuu Mashine ipo barabarani, nilipata fundi mzuri, ufundi nikalipa laki moja, overhaul gasket kit laki moja na arobaini na tano, grinder pest kopo moja, gasket maker moja, nikanunua na valve inlet/exhaust kwa elf nane nane kila moja hizi valve c original zinatoka Korea sema zipo...
  7. N

    Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

    Kwanza Gari huwa linazimazima bila sababu hasa ukikanyaga E/P ukiwasha linawaka na hamna sign yoyote ile, utaendaaaaa then gari linakuwa na miss/ Nguvu hupugua then sign kwenye display/dash board hutokea, kunakialama/symbol/picha yenye mfano wa engine itatokea/ zingine huandika neno 'check...
  8. N

    Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

    1G-FE VVTi 6 cylinder/piston ni engine nzuri sanaaa, but majuzi timing belt ilinikatikia mitaa ya majumba sita, ikapindisha valave zoote ishirini na nne kwenda kkoo naambiwa valve moja ni Tsh elf 45 mwisho wa bei ni Tsh 38 elf. Ila najilaumu mwenyewe kwakuwa check engine iliwaka sikugundua...
  9. N

    Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

    MADHARA YA DAWA HII NI KAMA IFUATAVYO; The recommended dose of Viagra is 25-100 mg taken 30 minutes to 4 hours before sexual activity. Viagra may interact with similar medications [such as avanafil (Stendra), tadalafil (Cialis) or vardenafil (Levitra)], bosentan, cimetidine, conivaptan...
  10. N

    Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    bill Shnky, Pole sana bro, jaribu kwenda kwenye duka moja Kariakoo mtaa wa Livingstone na Amani ulizia duka linaitwa SHUFAA au Piga simu no 0754856400 elezea shida yako in shaa Allah kwa uwezo wa M.Mungu utapona.
  11. N

    Na shida na dawa(Mundende)

    saga tikitimaji weka kwenye sufuria kamulia limao moja weka jikoni ichemke kidogo ipua acha ipoe isongeshe kwenye friji ikipoa gonga grasi asubuhi grasi mchana grasi jioni kwakuwa ni lishe matokeo ni siku sifuatazo/zinazofuata c kwa haraka unayo itaka wewe.
  12. N

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    nipo na dozi yangu hapa naitumia nenda mtaa wa livingstone na amani ulizia duka linaitwa shufaaaa dawa inauzwa Tsh 5, 000/=
  13. N

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    nipo na dozi yangu hapa naitumia nenda mtaa wa livingstone na amani ulizia duka linaitwa shufaaaa dawa inauzwa Tsh 5, 000/=
  14. N

    Sina hamu ya tendo la ndoa

    Pole, Ukilala hamnaga ndoto zinakuijia kama unapigwa mpini hv?
Back
Top Bottom