Recent content by NAMI

  1. N

    Mh.Mbowe na Mnyika kuwasha moto Igunga Leo

    Heko Chadema.
  2. N

    Wapenda amani nchini kumtetea mahakamani Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Pinda

    Wewe ni -------- kati ya wapumbavu waliopo. Kila mara post zako huwa ----- mtupu. Unapenda kushambulia watu binafsi badala ya hoja. Sisi tunajadili hoja iliyoko mahakamani wewe pimbi unamjadili mtu binafsi - kijo Bi simba. Eti wewe nawe great thinker.
  3. N

    CHADEMA yapata pigo Kusini; mwenyekiti wake ajiuzuru

    Habari za kariakoo. Unafurahia watu wanavyokuunganisha na jina kubwa. Msanii wewe.
  4. N

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Kuna kashfa zilizotoka kwenye gazeti la Changamoto zikimhusisha zitto kuchota pesa kwenye taasisi za serikali zilizochini ya kamati yake ikiwepo Ngorongoro kreta kwa kutumia NGO yake. Mpaka sasa hajajibu kashfa hiyo, ina maana ni kweli.
  5. N

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Zitto hata aseme nini hakuna mtu anayemwamni tena! Naona muda umepita habari zake hazijatoka Mwananchi au rafiki aliyekuwa anamjenga kimkakati amegoma?
  6. N

    CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

    Wanajiandaa na press conference ya kutetea chama chao. Aweda anajiandaa kukisafisha chama kwenye malumbano ya hoja ITV alhamisi.
  7. N

    Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    Mwigulu mjinga.
  8. N

    Nani kamchagua Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA 2015??

    Ben saanane, thread kama hizi nyinyi viongozi wa chadema na wafuasi wenu mnatakiwa kuzipuuza. Kitendo cha kuja hapa maana yake mnawapa vichwa waleta propaganda.
  9. N

    Nani kamchagua Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA 2015??

    Na mimi nakuuliza, nani kasema Dr Slaa hana haki ya kugombea? Muda ukifika wajumbe wataamua.
  10. N

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Kwa hili la Madawa ya kulevya yanayoangamiza watoto wetu, tuache uccm na uchadema kwanza - vijana wetu kwanza. ktk hili Aweda alikuwa sahihi kuhoji usafi wa NZOWA. Tuache ushabiki.
  11. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Mwigulu Jinga kweli, yaani hajui watakuja watu wangapi yeye anawaita waandishi wa Habari. Sijawahi kuona Bogus kama wewe. Tuachie jimbo letu tumpe Dr KITILA au mtu mwanachadema mwingine. Umeumbuka Loh!!!
  12. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Clouds fm alitumia milioni ngapi kwa matangazo yote? Halafu njoo kwenye gharama za maandalizi mengine. Hitimisha na ukumbi mil 2. Hata wanyiramba wamechoka. Dr KITILA anajichukulia jimbo kilaini.
  13. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Aibu mwigulu aibu, hii ni aibu ya mwaka. Aibu sana na pole sana. Mimi ni ccm lakini mambo yako yametuchosha. Sakata la Lwakatare umeidhalilisha sana chama, hushaurika. Masifa tu. Aibu yako mwenyewe.
Back
Top Bottom