Recent content by Namge

 1. Namge

  Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

  Selfish oriented policy...maana baada ya hapo kila mtu ataenda kwenye Kanda yke kufanya maendeleo..mwisho utaskia wachaga wote,mwanza, kahama ,dar na other places warudi kwao..wakinga nao the like. Kutakuwa na wasomi nao watataka wafanye kazi kwenye Kanda/Jimbo lao and the story goes on..
 2. Namge

  Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

  Hoja ya kiduanzi kabisa..na ambao wamekwisha neemeka na huu mfumo wa Sasa tutawadai warudishe fidia kwenye majimbo yaliyotoa hiyo michango..
 3. Namge

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Hi inabidi iletwe humu..
 4. Namge

  Ukweli kuhusu kafara ya kumwaga damu

  Kuna sehemu Yesu anasema "Mimi ndimi njia kweli na uzima hakuna ajaye kwa baba..." Hiyo nguvu Yesu anaitoa wapi, the whole future ya humankind iwe destined kupitia kwake. The power of blood.
 5. Namge

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Tayari mbona..watu walishatiririka zamani
 6. Namge

  Jinsi nilivyojichomoa kwa dada mpenda ngono

  Hili tatzo...wakijibu nitag mkuu
 7. Namge

  Je, ni kweli baadhi ya wanawake/wanaume wana mikosi hapa Duniani?

  Kwa wale mliopata bahati wa kutinga kakola mining pale..kuna Dada alikuwa na uzuri wa kila Aina...ila kila mtu aliyemgusa hakumaliza wiki lazima kibarua kiote nyasi.. Hizi mambo u knever know..
 8. Namge

  Jinsi nilivyojichomoa kwa dada mpenda ngono

  Kuna pisi ya kimasai ilkuwaga na izi mambo.. nilipoisoma nikawa naitegea.. inavunja madafu 2 au 3 ndo na Mimi nateleza nayo.. Ila swaga ya kufika pa Huu huwa ni ugonjwa kabsaaaa...Mimi ckuuelewa mpka siku niliona kwa TV mtu ambae alikuwa anatibiwa hiyo kitu..
 9. Namge

  Jinsi nilivyojichomoa kwa dada mpenda ngono

  Kuna pisi ya kimasai ilkuwaga na izi mambo..nlipoisoma nikawa naitegea..inavunja madafu 2 au 3 ndo na Mimi nateleza nayo ahilini
 10. Namge

  Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

  X:"Namge naomba tuachane..." Me: Hahahaaaa..u can't be serious! Why love. X:we ni mpole Sana... I love rude boy and yo ain't that person.. I don't feel like Me: like seriously.. X: yeah just try to understand.. Kama masihara.. aseeee upole ukaniponza.. When u truly love.. Miaka imesonga Leo huwa...
 11. Namge

  Wanaume tubadilike, tuache tabia ya kuzaa na kutelekeza familia

  "Thamani ya mtoto ipi kwenye uchi wa mamaye"...alisemaga mhenga mmoja ivi..
 12. Namge

  Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

  Nadhani hivyo mkuu...inakua kama roho inafuatilia..uzao hadi uzao
 13. Namge

  Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

  Hilo la kufuatilia ukoo nakubal asee..niliishi sehemu moja.. Kaka na Dada walikuwa wanakulana ikaleta shida.. Uncle yao mmoja akawa anwapa hela ya guest wasiwe wanafanyia nyumbani.. Kuja kuskia..karbia robo ya ukoo wanakulana..ko ishakuwa kama laana wao wanaona kawaida tu
 14. Namge

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Ni jamaa angu wa karibu Sana tu..na familia yangu anaifahamu fresh tu.. Siku isiyo na jina akanvutia waya..kuwa yupo upande wa pili wa boda amekwama kidogo,shemeji yangu anatoka jijini kuja mkoani kwa jamaa angu so atafika kabla yke kma vp nikampokee. Nikamtarifu wife afanye makeke ntapita na...
Top Bottom