Recent content by namfua masakia

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

    Unahonga madiwani na wabunge wa upinzani kwa mamilioni ya fedha, badae uchaguzi unarudiwa kwa mabilioni ya fedha...iko wapi dhana ya kupambana na rushwa hadi kuwa na mahakama ya mafisadi? nisaidieni kuelewa..
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afunguke vinginevyo rekodi yake inachafuka

    si bure unatafuta cheo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afunguke vinginevyo rekodi yake inachafuka

    "when you are dead,you don't feel anything..all the pain is felt by the others! the same happen when you are stupid"
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    kuna siku atajikamata mwenyewe..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    huko uliko Lubuva,ulaaniwe na Mungu wa mbinguni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

    katambi na wale madiwani wa arumeru hakuna tofauiti, kachukua chake na amefanya kwa mujibu wa makubaliano. CHADEMA itasonga mbele!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naona Wazungu (western countries) wanatushughulikia kimya kimya

    'tunataka viwanda vyetu vya nguo vizalishe nguo kwa wingi tukishavaa tuwapelekee wazungu kama mitumba' baba jesica - Ikungi SINGIDA.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kyaka, Kagera: Rais awapiga marufuku viongozi wanaowazuia wananchi kulima kandokando ya mito

    huyu rais atavuruga mambo mengi sana, huko ni kuingilia sheria za mazingira na kwa kauli hiyo kundi kubwa la watu wataanza kulima kwenye vyanzo vya maji na kando ya mito! namuomba Mungu atupatie uzima tutaona vituko vya kila aina hadi kufika 2020
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Maneno ya my hero lisu yataishi milele
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya fedha wa Acacia wajiuzulu

    Mimi pamoja na Mhasibu Mkuu Ndugu Andrew Wray tumetangaza rasmi kwamba hatutokuwa nanyi tena katika Acacia mwisho wa mwaka. Ulikuwa ni uamuzi mgumu sana kwangu na kwake kutokana na miaka 4 ya mafanikio ya timu ya Acacia ambao tunajivunia. Binafsi, uamuzi wangu wa kuacha kazi unatokana na maswala...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    'Nilijaribu tu kugombea urais wakanisukumia huko'
Back
Top Bottom