Recent content by namesake4

  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu ukusanyaji hela za taka hauridhishi

    Kuna muda ni kwa kila chumba ndani ya nyumba wanakusanya
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaozalishwa na vyuo mashuhuri Tanzania

    Kwanini wataalamu wanaopata shahada na astashada kwenye vyuo vyeti hapa Tanzania hawapewi nafasi za mbele kwenye miradi nchini? Je ni kweli wamepata ujuzi au sisi wenyewe hatuwaamini na kama ndivyo basi kifanyike nini kurekebisha haya?
  3. N

    JamiiForums Tanzania NSSF na kauli mbiu ya miaka 55

    Serikali inabidi iliangalie hili kwa jicho la tatu kwasababu majambazi na watu watakaofanya kazi za hovyo mtaani wanazidi ilihali mtu angepata nssf yake angeweza kuanzisha hata biashara yoyote na maisha yakasonga
  4. N

    JamiiForums Tanzania NSSF na kauli mbiu ya miaka 55

    Mimi kama mdau na mnufaika wa mafao napata changamoto. Niliacha kazi na nikaandika barua kwamba nakwenda kujiendeleza na masomo nikitegemea kutumia mafao yangu katika elimu kama kujilipia ada na kadhalika nafika nssf nauliza utaratibu naambiwa wewe huwezi kupata nssf hadi ufikishe miaka 55...
Back
Top Bottom