mkuuu MWL.RCT saivi napeta na line tofauti asante mkuu nitawashtua na jamaa wengine wakitaka huduma nilijua baada ya kutuma hela hutopatikana tena ila umeni prove wrong kati ya watu saivi wanoaminika na ww upo katika list pia again thanks acha niendelee ku enjoy
mkuuu MWL.RCT saivi napeta na line tofauti asante mkuu nitawashtua na jamaa wengine wakitaka huduma nilijua baada ya kutuma hela hutopatikana tena ila umeni prove wrong kati ya watu saivi wanoaminika na ww upo katika list pia again thanks
Aya ya 114 ya sura gani au umeambiwa hivyo kanisani na mashaka ya Quraan ukitoa aya moja tuu ambayo haina ufafanuzi basi nakufata kanisani aidha moja itakua uelewa wako mdogo ama una chuki ya kikristo.
Lakini ukisoma biblia ukianza tuu na genesis basi unakutana na makosa na ndo maana tunasema...
Una reference ya hayo unayoyasema mkuu au unajiropokea tuu nikuone unajua na ww kama unayo niletee Quraan ikashauri kusoma Bibilia itakua si Quraan yetu hiyo
Ismaiil mkuu muda mwengine unakua huisomi hata hiyo biblia yanyewe msikilize yesu anasemaje kuhusu hayo unayo ya discuss ww
But I say unto you, Swear not at all; neither by heaven; for it is God's throne (Matthew 5:34)
And anyone who swears by heaven swears by God's throne and by the one who...
Hamn kitabu kinachoitwa biblia mungu hatambui hakuna mtume alopewa hicho kitabu hamna aya kwenye biblia yenyewe kwamba biblia ni kitabu ije itambue Quraan tukufu sheikh Ismaail vipi bana
Kila mtume anakuja na miujiza yake ukitaka mujiza ya mtume wetu mtukufu basi soma sira(biography) yake utajua alikua na miujiza gani hata mtume Suleiman alikua na miujiza ambayo jesus alikua hana ukisoma Quraan.
unajua maajabu ni nini jee biblia inayo maajabu si rahisi kwasababu hakuna kitabu cha mungu chenye makosa na biblia inamakosa ya kiuwandishi na yakiungu pia hakiwezi kuwa kitabu kabisa hasa katika karne hii ambayo tunatumia software tofauti kugundua makosa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.