Recent content by Nambe

  1. Nambe

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Hatimaye safari yangu ya kuusoma huu uzi kwa siku tano sasa imekamilika. Vile nazidi kuelewa ndio nazidi kugundua sijui. Asante Rakim kwa uzi huu. Ningekutana nao 5 years ago nisingekuelewa kabisa.
  2. Nambe

    Nini faida ya dini na ibada katika maisha yetu ya kila siku!?

    Natamani huu Uzi uendelee kuchangiwa
  3. Nambe

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Natamani uje utupe mrejesho sasa hali ikoje sasa kwenye ndoa yako saivi kama bado hiyo ndoa ipo
  4. Nambe

    Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    The French Lieutenant's Woman...John Fowles Beautiful Ruins......Jess Walter JUST A MOMENT....Brahma Kumaris
  5. Nambe

    Takwimu za wanawake wanaotazama porn zinatisha

    There is a difference between what we want and what we want to want...... Lord Have Mercy.
  6. Nambe

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Do not be Wise in your own eyes. Happy 2019 everyone. judge less.
  7. Nambe

    Mwana MMU jerrytz amepata ajali

    Get well soon
  8. Nambe

    Muda muafaka wa kumtahiri mtoto

    Mwanangu wa kiume tulimtahiri akiwa na miaka 4..nina jirani zangu ambao wote mtu na mumewe ni doctors...walikuwa wananinanga kweli kwa kumchelewesha...first born wao walimtahiri akiwa na 2 weeks kama sikosei...yule dogo saa hizi anakribia miaka 5...kidudu chake kimegoma kukua...very healthy...
  9. Nambe

    Ona hawa wasichana wachafu wa tabia na wanachotaka

    Kha..sasa tatizo liko wapi kama watu wanafanya mazoezi ya kurembesha sauti zao... Hayo ya ulaya tuwaachie wa ulaya kwa sasa untill then...ndio mnajifanya hampendi hizi sauti za kumtoa nyoka pangoni au mnakiri udhaifu vile hivi vi so called FAKE vinavyowakaushia ATM zenu bila shuruti...hahahaa...
  10. Nambe

    Ona hawa wasichana wachafu wa tabia na wanachotaka

    Najua zinapopatikana fake hair...fake kope...fake rangi....but naomba unielekeze tafadhali ni wapi zinapopatikana FAKE VOICE n FAKE SMILE...NIjinyakulie na mie.... Utoto nao tabu tubu....HATA HAMUELEWI MKIDEKEWA...WACHA VIBABU VINAOVELEWA MAMBO VIENDELEE KUTUPETI PETI NYIE KAENI KULALAMIKA FAKE...
  11. Nambe

    Ona hawa wasichana wachafu wa tabia na wanachotaka

    Titi kama tofali linakuwaje.... Hamtaki fake na orijino pia mnazodoa... Mxiuu...hamueleweki mnachotaka ni nini wanaume...pyeee...mtuache.....
  12. Nambe

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Avatar yako tu......♥♡
  13. Nambe

    Mchumba na michepuko

    Nisaidie macho ya ndani...nione kama uonavyo wewe.......ndg yangu...Mungu anakuonyesha mbivu na mbichi mapemaaaa....wakati ndio huu....
  14. Nambe

    Mchumba na michepuko

    Kwikwikwi....VIPORO.
Back
Top Bottom