Recent content by Nako'z

  1. N

    Natafuta mchumba wa kike, awe na umri wa miaka kuanzia 22.

    Mi ni man, kwan vp Jambazi?
  2. N

    Natafuta mchumba wa kike, awe na umri wa miaka kuanzia 22.

    C-UMEONA NMETOA SIFA ZA MWANAMKE HAPO, I AM A MAN? Lol!!
  3. N

    Natafuta mchumba wa kike, awe na umri wa miaka kuanzia 22.

    Nashkuru wadau naona 2po pa1 sn
  4. N

    Natafuta mchumba awe Bikira

    Kaka ukimpata wa hvyo nish2tue maana lazima atakuwa na rafiki zke wa aina hyo na mi nntawapa.
  5. N

    Kwa WANAUME

    Swala lipo hv;- Kama kweli mwanamke anakupenda atajitahidi akwambie ana kwa ana na kama ni muoga bac atakutumia sms ya kukuelezea hisia zake na baadae atakutaka uonane nae ili kukuweka wazi vigezo alivyotumia kukupenda. Kama yeye anaishia kukutumia sms tu hyo anakutamani na huenda kuna kitu...
  6. N

    Natafuta mchumba wa kike, awe na umri wa miaka kuanzia 22.

    Kama mm nna matatizo ya akili, ww utakuwa zaidi kwa sababu umenijibu ungekaa kmya ngekuona wa maana sn. Ok take tym.
  7. N

    Kwa WANAUME

    Swala lipo hv;- Kama kweli mwanamke anakupenda atajitahidi akwambie ana kwa ana na kama ni muoga bac atakutumia sms ya kukuelezea hisia zake na baadae atakutaka uonane nae ili kukuweka wazi vigezo alivyotumia kukupenda. Kama yeye anaishia kukutumia sms tu hyo anakutamani na huenda kuna kitu...
  8. N

    Natafuta mchumba wa kike, awe na umri wa miaka kuanzia 22.

    Natumia rangi hii kwa sababu ya mada niliyoitoa. Nataka mchumba anayejiheshimu, mwenye upendo wa dhati, anayejiamini, anayependa kuonya na kushauri, muwazi na mvumilivu na awe na umbo kuanzia wastani mpaka mnene kiasi up to 70kg, rangi yoyote na awe na uwezo kiwango kuanzia wastani mpaka cha juu...
Back
Top Bottom