Ccm ni janga kwa taifa hii ujinga kama huo hauwezi kufumilika utafika wakati waliotulia watakapojibu hii nchi haikaliki. Kwann wanakosa uadhilifu na kufanya upuuzi kama huo. Hoja imewashinda wasitegemee kuna njema kwenye kutumia nguvu na mabafu.
Ccm kilishakufa siku nyingi Saiv inatumia nguvu kila kitu hawana hoja zaidi ya nguvu na mabafu elfu 2015 si mbali wananchi wachukue hatua ya kuwatoa mapema madarakani kabla hawajaleta balaa kwenye nchi hii maana wameshafikia hatua ya kuleta kila aina ya vurungu baada ya kukosa hoja.
Hatumhitaji dictator mbali rais mwadilifu na mwenye uwezo wa kusimamia maadili.
Hapo nashindwa kumwelewa kama makamba anashindwa kumtofautisha dictator na mtu mwenye uwezo wa kusimamia maadili.
Wananchi si wajinga hatutaki katiba ya watawala tunataka katiba ya wananchi.
Katiba iliyotengenezwa Dodoma si ya wananchi bali ni ya chama tawala.
Ni jukumu letu wote kuipinga hii katiba inayolinda masilahi ya watawala badala ya wananchi.
Ni aibu kwa waliomsomea mwanasheria mkuu zanzibar badala ya kusikiliza hoja wao ni kusomea, bahati mbaya hawajitambui kama wanafanya mambo ya aibu kusomeasomea. Mwanasheria mkuu ametumia haki yake ya msingi kupiga kura ya hapana kwa vipengele aliyokuwa ameona haipo sawa kwa masilahi ya taifa...
Inasikitisha sana haya mauaji yanayofanywa na Polisi huu ni ugeukwaji mkubwa sana wa haki ya binadamu.
Polisi wajue wanachotukifanya sio kutisha wala wala kuwafanya watu wasidai haki zao za msingi mbali ni kusabisha chuki na mwisho wa siku vita na hali ya kutokuwa na utulivu kama tunavyona...
Polisi wa Tanzania wamekuwa wakitumika vibaya
na chama tawala kwahiyo wamebaki kutumia nguvu kubwa bila sababu kwa kila jambo.
Lkn ipo siku demokrasia ya kweli itapatikana tofauti na huo ubabe unafanywa saiv na chama tawala kupitia Polisi
Tanzania kwa hali ya Polisi kuwapiga na hata kuwa ua watu kwenye maandamano ya amani hakuna demokrasia kabisa hata kidogo na hii tabia ya Polisi kutumika kuminya demokrasia ni wazi ni mpango mchafu wa chama tawala dhidi ya raia wake jinsi ilivyo haijali haki ya binadamu na wananchi wake.
Ww unazungumzia mambo ya kada wa chama watu wanachoangalia ni ugeukwaji wa haki za binadamu bila kujali ametoka chama gani.
Au haki ya binadamu inatolewa na kuangalia kichama. Haki za binadamu haiangali chama, dini, kabila, rangi wala hali ya mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.