Acha kuwa na mawazo Mgando wewe!!
Usiwe na akili za kushikiwa!!
kwani pale wameambiwa waaply akina Juma, Mwinyi, Issa, Abdallah, Amina, Ramadhan, Abdulrahman na Zainabu??
Kwa hiyo pale akina John, Mathew, Esther, Hellen hawapo??????
Unavyoongea jaribu kuwa na full data sio unaropoka ropoka tuu...