Recent content by nainai1

  1. N

    Mashuka makubwa size 8*8

    Samahan unachukulia wap belo za hizo shuka@mwipande
  2. N

    Msaada: Belo za Mashuka ya Mtumba

    Habari wakuu, Kwa anayefahamu mahali napoweza kupata belo za shuka za mtumba grade 1 na makubwa 8×6,tafadhar anijulishe niko morogoro
  3. N

    Nahitaji Mabelo ya shuka za Mtumba

    Habari, Samahani kwa ambaye anafahamu mahala ambapo wanauza mabelo ya shuka za mtumba za ukweli grade A,Tafadhari anijulishe yawe ni mashuka mazuri na makubwa.Napatikana Morogoro ila nipo tayari kuyafuata popote Tanzania.
  4. N

    Wapishi pitieni hapa tafadhali

    Ndio dada farkhina
  5. N

    Wapishi pitieni hapa tafadhali

    Msaada, naomba mwenye kujua namna ya kupika wali wa rangi na rosti la kuku wa kienyeji👏👏👏
  6. N

    Nauza mikanda ya kupunguza tumbo, ni ya mtumba, ndani ya siku 7 tumbo linaisha

    Mkuu dtf huo mkanda unafanyaje kazi na je hauna madhara kwa mtu ambaye ametoka kujifungua kwa njia ya kawaida lkn.
  7. N

    Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

    Jaman anatumia jina gan huko insta nasi tukajionee
Back
Top Bottom